Kwanini wazungu wanaoa wanawake wa kiafrika?

Kwanini wazungu wanaoa wanawake wa kiafrika?

mti wa bib

Senior Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
138
Reaction score
120
Hivi ni kwanin wazungu wanaoa wanawake wa kiafrika na wanaume wa kiafrika hawaoi wanawake wa kizungu?
 
Wazungu tunawapndea pesa zao tu hawavitii kimahaba hata kidogo
Bora wakina mwajuma nichokonoe mtot wa moto mam hotdogs vile
 
Sio kwl mazngira yako tu yamekuathiri huku chuga hzo mambo n kama maji kwny mkondo wake
 
tofauti ya mzungu na mwafrika ni ethnicity tu, labda na rangi kidogo, kitu ambacho hakileti ajabu yoyote kwa intermarriages
 
Inferiority and superiority factors may also apply here.

Wazungu wanaweza kuoa mabinti wa kiafrika ambao ni hot demand.. Waafrika wanaoa wabibi wa kizungu au zile reject za kizungu..
 
Wazungu au wasichana wenye ngozi nyeupe hawavutii,akipita mzungu na mwafrica hapo na kipensi,mwafrica atasisimua zaidi, kwahilo hongera dada zetu ila hiyo tabia ya kujichubua ndo kero
 
Una uhakika na hili uliloliandika? Unaweza kuthibitisha?
 
Back
Top Bottom