Ukimaliza hapo uliza piaHistoria ya standard five inaanza kwa kasi sana hapo tunaambiwa wakati wazungu wanataka ku colonize Africa walituma maagent watatu wakiwemo.
EXPLORERS, MISSIONARIES NA TRADERS.
Lengo la explorers kuja kupeleleza jinsi Africa ilivyo ili wakirudi wawape taarifa juu ya mambo waliyoona yanafaa kuchuma huko Africa ..lakin wanakuja
Missionaries ambao lengo kuu ni kuleta Dini na kuisambaza kwa kasi huku Africa kwa maana Africa tulikuwa tukiabudu Miti, Mawe, Jua na vitu vingine ambavyo walikuwa wanaomba mahitaji yao kama mvua na baadaye mvua inanyesha lakini walivyokuja wazungu wakasema huu ni uppuzi achaneni njooni kanisani ambapo huko kanisani walipitisha ukoloni kiaina mfano walipreach kwamba sote tupo sawa mbele za Mungu ukiona mwenzako anaashida mpatie usimyime sijui nini wakawapumbaza Ujinga waafrica wakawatapeli kilaini sasa swali ni kwann Waliileta dini Afrika na wao ukiangalia kwao Dini haipewi kipaumbele sana wazungu wengi sana wanafanya mambo ya hovyo mno kama hawamwogopi Mungu na wao ndiyo waliileta dini Afrika saasa inakuwaje hapo yani au usikute mambo ya Dini tumejiongezea kwanini watu zamani walikuwa wanaomba miti mikubwa mvua na mazao wanachinja na mbuzi alaf maombi yao yanajibiwa? Hiyo miti ilitukosea nn mpk tusiendelee kuiomba?
Em weka wazo lako apo
Binafsi nahisi ww ndio una matatizo ya akili.Mkuu Uwezo wako wa akili/IQ ni ndogo kulipo mada ulioanzisha.
kwa maana nyingine mada ni nzito kuzidi uwezo wako wa akili.
ebu jaribu kutulia chimba ndo uanzishe mada.
mbona hautaji waarabu?Historia ya standard five inaanza kwa kasi sana hapo tunaambiwa wakati wazungu wanataka ku colonize Africa walituma maagent watatu wakiwemo.
EXPLORERS, MISSIONARIES NA TRADERS.
Lengo la explorers kuja kupeleleza jinsi Africa ilivyo ili wakirudi wawape taarifa juu ya mambo waliyoona yanafaa kuchuma huko Africa ..lakin wanakuja
Missionaries ambao lengo kuu ni kuleta Dini na kuisambaza kwa kasi huku Africa kwa maana Africa tulikuwa tukiabudu Miti, Mawe, Jua na vitu vingine ambavyo walikuwa wanaomba mahitaji yao kama mvua na baadaye mvua inanyesha lakini walivyokuja wazungu wakasema huu ni uppuzi achaneni njooni kanisani ambapo huko kanisani walipitisha ukoloni kiaina mfano walipreach kwamba sote tupo sawa mbele za Mungu ukiona mwenzako anaashida mpatie usimyime sijui nini wakawapumbaza Ujinga waafrica wakawatapeli kilaini sasa swali ni kwann Waliileta dini Afrika na wao ukiangalia kwao Dini haipewi kipaumbele sana wazungu wengi sana wanafanya mambo ya hovyo mno kama hawamwogopi Mungu na wao ndiyo waliileta dini Afrika saasa inakuwaje hapo yani au usikute mambo ya Dini tumejiongezea kwanini watu zamani walikuwa wanaomba miti mikubwa mvua na mazao wanachinja na mbuzi alaf maombi yao yanajibiwa? Hiyo miti ilitukosea nn mpk tusiendelee kuiomba?
Em weka wazo lako apo
Ila unaamini kuwa baba yako na mama yako ndio walikuzaa wakati kipindi wanakuzaa ulikuwa hujui hili wala lileDini ni mambo ya kufikilika. Siwezi kuamini mambo nisio yaona
Jibu murua kabisa hili, hata mimi nilitaka kumjibu hivyo hivyo.Ukisoma vizuri biblia utaona hata hao wazungu dini walipelekewa hasa injili. Wakush walikuwa mbele ya muda kabla ya hao wazungu mfano kwenye Biblia kuna Mkush alikuwa anatoka Kwao Ethiopia na kwenda kuhiji Jerusalem tena akiwa na gari lake. Wakati huo pengine hao wazungu walikuwa wanaishi huko mapangoni hawana habari na Injili. Badae sana ndiyo walikuja kustuka hii kitu ni dili.
Ila unaamini kuwa baba yako na mama yako ndio walikuzaa wakati kipindi wanakuzaa ulikuwa hujui hili wala lile
Imani ya kuamini kuwa hao ni wazazi wako umeitoa wapi? Una uhakika gani kuwa ni wazazi wako na kuwa hukuotwa jalalani baada ya wazazi wako halali kukutupa?
Swali unajuaje kuwa ni baba na mama yako halisi hadi uwaite hivyo? Una uhakika gani kama kweli wazazi wako hata kama unawaona? Kama ni matapeli wa mjini walikuiba wodini au kukuokota barabarani na kujiita wazazi wako jeBaba na mama nimekua nikiwaona lakini huyo Mungu mnae mzungumzia sijawahi kumuona walau ningekuwa namuona kidogo ingeleta Imani kama Imani niliyo nayo juu ya wazazi wangu ambao Nina waona.
Na hata kama siku zao za kuishi zikiisha Bado taswira Yao itabaki kichwani mwangu.
Ila taswira ya Mungu Ambae mnadai kuwa yupo imegoma kabisa kujicreat kichwani mwangu.
Swali unajuaje kuwa ni baba na mama yako halisi hadi uwaite hivyo? Una uhakika gani kama kweli wazazi wako hata kama unawaona? Kama ni matapeli wa mjini walikuiba wodini au kukuokota barabarani na kujiita wazazi wako je
Kwa hiyo unawaamini.kuwa ni baba na mama yako sababu tu uliwasikia wakisema hivyo.kwa hiyo.hata tapeli.lolote lingejitokeza enzi unazaliwa likajiita baba yako au mama yako likakulea utawaona hao kuwa hao ndio wazazi waKo kisa unawaona live?Ni mataperi ambao nimewaona. Nimeridhishwa na utaperi wa wadhi. I need God to speek by himself to me. Nimechoka kusikiliza maneno ya watumishi wanaojidai ni watumishi wake.
Ambao wengi ni waongo. I need to see God through my eyes...izo rumours zimenichosha...!
Inawezekana vipi mtu kuokota watoto zaidi ya watatu wanaofanana naye ??Ila unaamini kuwa baba yako na mama yako ndio walikuzaa wakati kipindi wanakuzaa ulikuwa hujui hili wala lile
Imani ya kuamini kuwa hao ni wazazi wako umeitoa wapi? Una uhakika gani kuwa ni wazazi wako na kuwa hukuotwa jalalani baada ya wazazi wako halali kukutupa?