MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Happy ni Budha?Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Viongozi wengi wa awamu ya tano wamekuwa wakitoa matamshi yasiyo na hekima wala busara, lakini Waziri Mkuu kwa kiasi kikubwa ameweza kuzilinda hisia zake na kudhibiti ulimi wake.
Ameweza pia kuwavumilia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao wamekuwa wakienenda kinyume Cha maadili ikiwemo kimatamshi na Sasa mavazi.
Pamoja kulinda ulimi wake ameweza kuonyesha utumishi Bora na hata maelekezo yake yanaheshimika na kutekelezwa kuliko hata ya wale wanaotumia lugha chafu na za udhalilishaji.
Kongole Kassim Majaliwa
Acha kuwa na mawazo finyu, mtu wa dini yoyote na kabila lolote anaweza kuwa kiongozi mzuri sana, unataka kusema hii chi kila sekta inaongozwa na mwislam? Na pia unataka kusema hakuna viongozi wa kiislam wanaofanya mambo ya hovyo na ya kifedhuli tena kuliko hata hao wakristo unaowasema?Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
RC wa Iringa ni Mkristu? RC wa Mara je? wa Arusha je?Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Waislam wanahekima ya uongozi kuliko wakristo. NOPE.Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Yule wa pale alisema lakini hiyo kazi haiwezi alisukumizwa tu ndiyo maana akiongea lazima alete mitafaruku sawa na mwanaePM na Makamu wa Rais ni viongozi. Nimemaliza.