KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,151
Vijana watanzania wameridhika na elimu wanayoipata ndani ya nchi yao.over
we mbona hutoi point hata siku moja, siku zote unaongea pumba tu. Na majibu ya yako ka ya mwanamke wa pwani
Ni sawa kabisa kuwasomesha hawa watu wenye umri mkubwa. Mimi ninaelewa sana haya mambo yanavyokwenda serikalini, jua ya kwamba hawa watu hawakuanza kuomba nafasi za masomo mwaka jana/juzi... watu wamestruggle miaka 25 bila ya kupumzika kuomba udhamini wa kujiendeleza kimasomo huku wakiendelea kuitumikia serikali kwa uadilifu mkubwa, sasa ndio ije wewe umeitumikia serikali mwaka 1 au 2 wakupe udhamini, kweli? kwa utaratibu ni lazima upange foleni au jisomeshe mwenyewe/tafuta private sponsor
c ndio mazuzu ka nyie ninao wazungumzia.we endelea kukaa na vilaza wenzio huko muccobs,na hautakaa upate scholarship hata siku 1.over
wazee unaowaona hapo chuo tayari wana uwezo wa kujilipia fees na mengineyo coz wameshapigana na kupata fedha. Vjana unaowaona hapo wanasomeshwa na wazazi/ndugu zao wenye uwezo....................TZ haina uwezo wa kusomesha vijana wengi havard kwa hela ipi? piga box upate dollar, soma chuo chochote hapo ulipo, pata ujuzi .........rudi bongo ukapige hela ndefu kule...........fursa kibao bongo kwa wale wenye uelewa mpana!
Hoja yangu hapa ni kwamba mtu kama sumaye au mzee mungine yeyote ambae ameshamaliza utumishi wake katika kulitumikia taifa hiyo elimu ya HAVARD anaifanyia nini huko kwa sasa?maana angekuja kipindi kile akiwa bado analitumikia taifa kungekua na mantiki lakini kwa ujio wake ule ambapo tayari alikua ameshastaafu sidhani kama una tija yeyote huko nyumbani....hizo nafasi kama nilivyosema huko nyuma zinakua zimelipiwa na chi tajiri kwa ajili ya nchi masikini duniani na huwa zinatolewa kila mwaka hapa watu wanakuja tunawaona alkini watz wenzangu wakija ni wazee tena waliotoka kuongoza kupitia ccm mpaka wenzangu wa mataifa mengine ya africa kama nigeria,south sudan n.k. wananicheka wanasema nchi yenu haina vijana wote wamekufa kwa ukimwi labda ndio mana wasomi wenu kila mwaka mnaleta ni wazee!wenzetu wanaleta watu fresh from school,damu changa ili wakasaidie nchi zao!

wewe ni mgumu sana kuelewa
jamaa ana hoja wewe unatumia jazba kuizima...na hii hata viongozi wanayo sana,kama huna majibu ya hoja yake ni bora ukanyamaza.Mfano hapo anapouliza hao wazee baada ya kupata hayo maarifa wana mchango gani kwa taifa kwa kutumia hayo maarifa ya Havard?ilitakiwa kama unayajua ndio umjibu kama na wewe hujui basi ingetosha ukae kimya kuliko kujaribu ku shut down hoja yake!
Katika nchi zilizoendelea kuna nafasi za masomi mbali mbali wanazozitoa kwa ajili ya nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania,mimi nipo hapa Havard university nabeba box lakini kuna kitu kimoja ambacho hata sikielewi,hivi ni utaratibu gani huko nyumbani unatumika kuwapata wanafunzi wa kuja kuchukua nafasi hizo?Nauliza hivi kutokana na kushuhudia asilimia kubwa ya "wanafunzi"wanaokuja hapa kuwa ni wazee hasa viongozi..mfano alikuja hapa bwana mkubwa sumaye baada ya kutoka kwenye uwaziri mkuu huko nyumbani baadae akaja bwana Amani na familia yake,najiuliza hawa wazee wanaweza kuwa na mchango gani zaidi kwa taifa mpaka wakapewa nafasi hizo ambazo katika hali ya kawaida tulitegemea kuwaona vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa,kwanini nafasi hizo wasipewe vijana au vijana huko nyumbani wote wameelimika na hawahitaji tena nafasi kama hizo?
Ni sawa kabisa kuwasomesha hawa watu wenye umri mkubwa. Mimi ninaelewa sana haya mambo yanavyokwenda serikalini, jua ya kwamba hawa watu hawakuanza kuomba nafasi za masomo mwaka jana/juzi... watu wamestruggle miaka 25 bila ya kupumzika kuomba udhamini wa kujiendeleza kimasomo huku wakiendelea kuitumikia serikali kwa uadilifu mkubwa, sasa ndio ije wewe umeitumikia serikali mwaka 1 au 2 wakupe udhamini, kweli? kwa utaratibu ni lazima upange foleni au jisomeshe mwenyewe/tafuta private sponsor
c ndio mazuzu ka nyie ninao wazungumzia.we endelea kukaa na vilaza wenzio huko muccobs,na hautakaa upate scholarship hata siku 1.over
Kaka yashakuwa hayo??