Kwanini Wazazi wakiachana Sheria zinampendelea mwanamke katika malezi ya watoto?

Huo ni utaratibu wa serikali kwnye uislamu mtoto ni wa baba.
Mtoto ni wa wote ila inapoteka mifarakano mizani lazma iwepo kupima kt ya wazazi hao wawili nani anastahili kulea sio tu sheria iegemee
Hayo ya kubeba ujauzito ni maumbile tu namna Mungu alivyoumba wanawake , wazazi wote ni sawa kwa mtoto ndiomaana mwanamke hawezi kujipa mimba bila ya mwanaume
 
Kwa maelezo hiyo haipaswai kuwa sheria ila utaratibu,ukisema kitu ni sheria bi muhimu kuto favour upande wowote.
Issue nmza kubeba mimba sio justification,ni nature au mwenyezi Mungu alipenda mimba ibebwe na wewe hivyo hivyo angependa pia ingebebwa na mwanaume.
 
Hayo ya kubeba ujauzito ni maumbile tu namna Mungu alivyoumba wanawake , wazazi wote ni sawa kwa mtoto ndiomaana mwanamke hawezi kujipa mimba bila ya mwanaume
Maumbile yanampa mama mzigo mkubwa kuliko baba, hivyo sheria inatambua huo mchango wake na kumpa nafasi zaidi.

Biolojia na nature imetaka hivyo, huwezi kushindana na asili ya uumbaji.
 
Jambo la muhimu nililojifunza hapa Duniani sheria zote zinatungwa kumdhibiti mwanaume hasa wasio na vipato.
Ukiwa tajiri,ukitaka kubaki na watoto utabaki nao tu hata kama sheria zina wa favour wanawake na kwa bahati mbaya hata ulaya napo ni hivyo hivyo.

By the way chochote kinachotengenezwa na mwanadamu kuna njia yake ya ku divergent,ukiona maji yamezidi Tafuta njia mbadala zipo nyingi tu.
 
% kubwa ya watoto wanaolelewa na Mama tu wengi huwa ni matatizo sana.
 
Maumbile yanampa mama mzigo mkubwa kuliko baba, hivyo sheria inatambua huo mchango wake na kumpa nafasi zaidi.

Biolojia na nature imetaka hivyo, huwezi kushindana na asili ya uumbaji.
I agree with u but at the end both are parents they have equal rights na baba ndio zaidi ana haki ndioomaana hata mtoto ana andikishwa jina la baba sio la mama
 
Well spoken broski
 
Mtoto ni wa wote ila inapoteka mifarakano mizani lazma iwepo kupima kt ya wazazi hao wawili nani anastahili kulea sio tu sheria iegemee upande mmoja
Ila kwa Dunia ya sasa,unakuta baba mlevi anambaka mwanae!
sisi wanaume pia ni mtihani
 
Kulea yenyewe wanajua sasa? Mtoto wanampeleka kwa bibi au shangazi yake wakijitahidi sana mama wa kambo
Usipinge uhalisia laiti kama babaako asingekulea kwa kukupa support sidhani kama ungekuwa na jeuri hiyo na ungewachukia sana wanaume

Punguza mihemko
 
Tafteni watu wa haki jinai(ustawi wa jamii ,polisi pale kuna dawati ....mkishindwana kote nendeni mahakamani

Kama mtoto yuko chini miaka 7 ,tafuteni sababu zilizoshiba pamoja na hiyo ya ulevi

Tafuteni mtu mpeni pesa akamleweshe chakali pigeni picha na iwe zaidi ya mara 10 wakati tofauti na tarehe picha zinaonesha tarehe
 
Haya ni matokeo ya kukua kwa mabadiliko ya kijamii yaliogemea kwenye siasa za mlengo wa kushoto(leftism).

Mabadiliko haya yamekuja na negative impacts nyingi kuliko faida, na moja wapo ikiwa ni hili la kuwepo kwa sheria za mambo ya kifamilia ambazo ni kandamizi kwa mwanaume karibu sehemu zote duniani.

Katika juhudi za kuleta usawa wa kijinsia, wamejikuta hawaleti tena usawa katika ya mwanaume na mwanamke, bali wanageuza au wanahamishia msalaba wa mateso kutoka kwa mwanamke na kwenda kwa mwanaume.

Ndio maana tunasema dunia inatoka kwenye mfumo dume(partriachy) na kuingia kwenye mfumo jike(matriachy/gynocentrism).

Katika dunia hii ya sasa ya mfumo jike ndio tunaona karibu zote na taasisi zote mpaka serikali zimejikita kumwangalia mwanamke, na kumsahau kabisa mwanamke...

...ndio maana unaona hata kwenye sheria za ndoa na familia zinampendelea mwanamke na mtoto, mwanaume anageuzwa kuwa dispasable utility tu wa kutimiza matakwa ya mwanamke na mtoto.

Na hii imepelekea wanawake kugeuza mahusiano kuwa fursa, mtu anazaa na wewe kwa lengo la kujiingia pesa kupitia child support au anaolewa na wewe kisha muda mfupi baadae anakimbilia kufile divorce hili ajipatie mgao.
 
C
Code za cuba
 
Tumefika in a point of no return. Mambo yameshaharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…