Huu n ukweli aiseeSio kwamba hawawapendi ila hali zao hapa mjini ni ngumu na nyie mkoani mkijua mtu yupo dar mnahisi tu ni mambo safi
Mtu akiwa dar hawezi kutamani hata ndugu yake uje umtembelee kwahiyo lazima utahisi ana roho mbaya au hakupendi kumbe ni hali tu ya maisha
Sent using Jamii Forums mobile app