Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,956
- 22,415
Wapi mm nimesema aliyoyasema mleta mada?
Wapi mm nimesema aliyoyasema mleta mada?
BILA YA KWENDA MBALI AMEULIZA "KWA NINI WATU WENGI WA JF HAWAJIAMINI?" sio DSM, sio NAIROBI!!!! Hao watu wengi wa JF kajuaje kuwa hawajiamini kama anavyodai yeye!!!!Kabla ya kukushauri embu fafanua kidogo. Kwanza umejuaje kama ni watu wengi ndiyo hawajiamini? hiyo tafiti umeifanya wapi na kwa sample size gani?