Kwanini watu wengi hawaoani na their dream partners?

Kwanini watu wengi hawaoani na their dream partners?

Duh... Dini hizi....!

Anyway Mungu awafungulie njia

Kweli mkuu maana duh DINI utaichukulia simple mwanzoni mwa mahusiano mnapokuwa wawili ila mambo yakishafika Kwa ndugu na wazazi ndiyo utatambua Dini sio Jambo la mchezo .
But anyway nimejifunza ,sitoanzisha mahusiano na mtu WA Imani tofauti kama huyu ninaempenda kiasi hichi tukiachana sababu ya imani.
 
dream partners wengi huwa ni illusion tu

kama mimi hapa dream partner wangu ni ALICIA KEYS yan nakapenda kale kadada acha tu

sasa unafikiri hapo nnaweza kumuowa
 
Duh Mimi DINI ndiyo tatizo yeye MUISLAM Mimi ni CATHOLIC wazazi wake, ndugu wamekata asibadili ila nampenda Sana na yeye ananipenda ila sina namna itabidi kila mtu achukue time yake.

Ningekuwa na uwezo ningemuoa hata sasa hivi Ila DINI.
Na Mimi sipo tayari atengwe na ukoo/Familia yake kisa ndoa although bado hutujavunja mahusiano but sioni future yetu .

Huwa naumia Sana nikifikiria kuhusu huyu mwanamke.
Siku nikamua ku_move on Mwenyezi Mungu awe nami .
Pole sana mkuu, hiyo kitu mbaya sana
 
Kweli mkuu maana duh DINI utaichukulia simple mwanzoni mwa mahusiano mnapokuwa wawili ila mambo yakishafika Kwa ndugu na wazazi ndiyo utatambua Dini sio Jambo la mchezo .
But anyway nimejifunza ,sitoanzisha mahusiano na mtu WA Imani tofauti kama huyu ninaempenda kiasi hichi tukiachana sababu ya imani.
You never know. Usikate tamaa. Mnaweza kuja kuona. Despite of all.....

Ndugu wanazinguaga saana
 
Mleta MADA umesema kweli tupu.

Ndivyo inavyokuwa.

Na kuna kitu ambacho hukukiweka, labda Mimi nikiongezee.

Ujue kuna NDOA nyingine unakuta ni kama za kulazimishwa/kulazimishana fulani, au sijui niseme ni PRESHA kutoka kwa MZAZI/WAZAZI.

Mfano MZAZI mwingine unakuta analalamika, "Lini utaoa/Lini utaolewa"

"WAJUKUU zangu nitawaona lini"

"Au unataka Mimi nife bila ya kuwaona WAJUKUU zangu"

Na MZAZI mwingine kila utakapomletea kijisababu anajua namna ya kukubana, yuko tayari akuchagulie MKE/MUME.

Sasa mambo kama haya nayo yanachangia sana kuangukia pasipokuwa chaguo lako la Moyo
 
Tuna ile kitu tunaolewa au kuoa kwa sababu tu Dada/kaka fulani ana kazi fulani au ana mapesa.. basi ili nishow off kwa shoga zangu...
au naoa tu kwa sababu mwanammke mjasiliamali au mchapakazi kwahiyo tutasaidiana maisha... lakini kimwili hakidhi vigezo kabisa.
Naoa kwa sababu yule dada anaenda sana kanisani kajawa Roho mtakatifu

Naoa kwasababu umri umeenda
Naolewa kwa sababu umri ushaenda basi yoyote yule naolewa nae.
Naolewa ilimradi mme wangu
anafanya kazi ya maana serikalini hana vyeti bandia basi nna uhakika wa kula maishani..

Wengi tunaolewa na kuoa watu ambao hata 50% hawakidhi vigezo vyetu.. ila kwa jina la maisha,future basi acha tuoane..

Hatuoani ila tunakua tu business partners[emoji23][emoji23][emoji23] tuonazaa na watoto.

mm binafsi ntaolewa na mtu nnaye mpenda ,ntakayekuwa proud nae

Sio tunakutana na rafiki,ndugu na jamaa naanza "ooh huyu ni jirani yetu pale mtaani kwahiyo nmeongozana nae tu anatafuta mashuka"

namweka whatsapp uso nauweka bomba muemoj what the Hell f[emoji23][emoji23]
And then I love you
 
Wewe una akili, kifupi uko smart. Over
 
Nazijua sabbu kuu mbili, tamaa ya mafanikio ya haraka na kupoteza uvumilivu vinachangia sana. Hasa wadada wengi wanafikiri mahusiano yenye raha ni yale ya kuwa na mwanaume aliyefanikiwa kimaisha tayari au mwenye pesa.
Wanasahau kuwa mhusika kwa kiwango kikubwa hatakuwa anamjali sababu huna mchango wowote kwenye msingi pesa na mafanikio yake. Hapo ndipo unajikuta wewe wakuolewa ila kuna mwenzako aliyekuwa hata kabla yako hajaolewa nae ila anasikilizwa kuliko wewe
Mwisho wa yote unaanza sema mmeo kalogwa na mchepuko unaanza kukimbilia kwa wachungaji kukesha bila kujua mchawini wewe mwenyewe tu
 
Sasa kama mim dream pa tner wang NICKI MINAJ

Unategemea nini[emoji17][emoji17]
 
Nilidhani niko peke yangu
I have married but don't know kama ndo dream au vpi,nachojali ni ndoa na hata nikigegeda demi mzuri kiasi gani kumpita but sifikilii kuoa,naweza oa mwingine ukiwa tu sijaridhishwa na mwenendo wa tabia hayo mengine ni minor sana
Afu watu wasiwe na fallacy of generalization kwa kujudge kila mtu kwa kuangalia hisia zako ukajua wote wako hivyo
Kwangu kupenda nasikiliza akili zaidi kuliko moyo so huwa siumii kivile na hisia hasi kwa jambo bays lolote lile na ikitokea ninaweza kumanage na kuziabsorb hizo shocks haraka sana
 
Mimi naomba mnielekeza dream partner unamjuaje maana nikiona binti mkali tu natamani kumuoa tuishi nae daima
Yaani kila mwanamke mzuri nampenda kwa moyo huu huu
 
Wife wangu wa kwanza nilimmaindi kwa sana full malovee,do ssi ndo sir god nae akammaindi,basi hamna noma,nikachukua mwingine mtoto full tabasamu kama ray c kumbe lilifuata vicent ingawa kazi zetu zafanana, tukashindwana ingawa nilipiga goti kwao(waislamu wanajua)
nikakamatia mwingine nipo nae,nae ni singo maza.full kuwasiliana na baba mtoto wake kwa siri,kwa kuwa mimi born town mishe zote najua,na zawadi ya mtoto nimepewa mwaka huu ni elo way wa msingi,life linasonga .
Kwa kifupi rahma wangu alivyodead ndo aliondoka na upendo wangu,wengine tunaishi nao tu.
pole mkuu
 
Kwa nini???
Kwanza ikitokea cheating ikitokea uwezekano wa Mmoja kujiua utakuwa mkubwa, pili kutokana na upendo ulionao hutoona madhaifu ya mwenza wako hasa katika swala la kimaendeleo kutokana na miwani ya upendo
 
Back
Top Bottom