Da pole Mzigua90. Sipati picha maumivu yake.My dream partner ameshamuengage mtu mwingine. Nasubiria mwingine kama atatokea tena Inshallah
AmenDa pole Mzigua90. Sipati picha maumivu yake.
Ngoja nami niendelee kuomba yawezekana dua zetu zikagongana
You have a point man, hii hata baadhi ya watu wazima walisha niambia lakini still kwanin? Is it dangerous kuwa na mtu mnaependana sana?Kitaalamu Unashauriwa Usioane na Mtu Mnayependana sana.
You have a point man, hii hata baadhi ya watu wazima walisha niambia lakini still kwanin? Is it dangerous kuwa na mtu mnaependana sana?
We nicheke tuuu. Shem.Hahahaaha shem
what a sad storyMy dream girl ameshaolewa....
Hapana nimefrah sana kukuona maeneo haya shem wangu hahahhahahhahaWe nicheke tuuu. Shem.
Acha tuu....inabidi u move kwenye next best altenativewhat a sad story
Hahahaa....thanks. Si unajua vile weekend. Karibu soup ya jogooo. Uje na BaillyHapana nimefrah sana kukuona maeneo haya shem wangu hahahhahahhaha
Hahahaha ngoja nimwambie tumepata ofa ya jioni tuje asante kwa ofa my shemHahahaa....thanks. Si unajua vile weekend. Karibu soup ya jogooo. Uje na Bailly
Duh... Dini hizi....!Duh Mimi DINI ndiyo tatizo yeye MUISLAM Mimi ni CATHOLIC wazazi wake, ndugu wamekata asibadili ila nampenda Sana na yeye ananipenda ila sina namna itabidi kila mtu achukue time yake.
Ningekuwa na uwezo ningemuoa hata sasa hivi Ila DINI.
Na Mimi sipo tayari atengwe na ukoo/Familia yake kisa ndoa although bado hutujavunja mahusiano but sioni future yetu .
Huwa naumia Sana nikifikiria kuhusu huyu mwanamke.
Siku nikamua ku_move on Mwenyezi Mungu awe nami .