Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,213
- 4,192
Watu hawajui kupenda na amani ni wachache sana wanaojua nn maana ya kupenda
Mwanamme ndo hupenda
Mwanamke hutamani . basi matamanio ya mwanamke huwa wanaita kupenda ambapo si hivo . kwa kawaida kabisa mwanamke anapaswa aolewe na mwanaume ambaye akikasirika anaityuni akili yake kusema ndiyo kila jambo.
Mwanamme huanza kutamani akiendelea ndo kinakuja kitu kupenda
Kwanza atapenda kumpendezesha kwa kadrii alivofanikiwa.
Atamtafakarisha kutafuta zaidi na zaidi
Hatafurahi kumuona anahuzuni atamhurumia
Mwanaume atajihisi mtu wa majukumu kila anapokuwa naye na asipokuwa naye
Atapenda ajue yuko mahali salama kila wakati anaweza piga cm na nikutaka kujua tu yuko wapi hapa ndo wanawake wengine hutafsiri ni wivu kumbe ni upendo
Hutamani kuwasaidia ndugu zake wote bila kujali
Teh