Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
Kwa nini???Kitaalamu Unashauriwa Usioane na Mtu Mnayependana sana.
Kwa nini???Kitaalamu Unashauriwa Usioane na Mtu Mnayependana sana.
Duh... Dini hizi....!
Anyway Mungu awafungulie njia
Pole sana mkuu, hiyo kitu mbaya sanaDuh Mimi DINI ndiyo tatizo yeye MUISLAM Mimi ni CATHOLIC wazazi wake, ndugu wamekata asibadili ila nampenda Sana na yeye ananipenda ila sina namna itabidi kila mtu achukue time yake.
Ningekuwa na uwezo ningemuoa hata sasa hivi Ila DINI.
Na Mimi sipo tayari atengwe na ukoo/Familia yake kisa ndoa although bado hutujavunja mahusiano but sioni future yetu .
Huwa naumia Sana nikifikiria kuhusu huyu mwanamke.
Siku nikamua ku_move on Mwenyezi Mungu awe nami .
We ndoto yako ni ya kiwango cha lamidream partners wengi huwa ni illusion tu
kama mimi hapa dream partner wangu ni ALICIA KEYS yan nakapenda kale kadada acha tu
sasa unafikiri hapo nnaweza kumuowa
John Connor mambo vpEti ukimuona roho 'inashituka'..empty set kabisa
You never know. Usikate tamaa. Mnaweza kuja kuona. Despite of all.....Kweli mkuu maana duh DINI utaichukulia simple mwanzoni mwa mahusiano mnapokuwa wawili ila mambo yakishafika Kwa ndugu na wazazi ndiyo utatambua Dini sio Jambo la mchezo .
But anyway nimejifunza ,sitoanzisha mahusiano na mtu WA Imani tofauti kama huyu ninaempenda kiasi hichi tukiachana sababu ya imani.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]dream partners wengi huwa ni illusion tu
kama mimi hapa dream partner wangu ni ALICIA KEYS yan nakapenda kale kadada acha tu
sasa unafikiri hapo nnaweza kumuowa
And then I love youTuna ile kitu tunaolewa au kuoa kwa sababu tu Dada/kaka fulani ana kazi fulani au ana mapesa.. basi ili nishow off kwa shoga zangu...
au naoa tu kwa sababu mwanammke mjasiliamali au mchapakazi kwahiyo tutasaidiana maisha... lakini kimwili hakidhi vigezo kabisa.
Naoa kwa sababu yule dada anaenda sana kanisani kajawa Roho mtakatifu
Naoa kwasababu umri umeenda
Naolewa kwa sababu umri ushaenda basi yoyote yule naolewa nae.
Naolewa ilimradi mme wangu
anafanya kazi ya maana serikalini hana vyeti bandia basi nna uhakika wa kula maishani..
Wengi tunaolewa na kuoa watu ambao hata 50% hawakidhi vigezo vyetu.. ila kwa jina la maisha,future basi acha tuoane..
Hatuoani ila tunakua tu business partners[emoji23][emoji23][emoji23] tuonazaa na watoto.
mm binafsi ntaolewa na mtu nnaye mpenda ,ntakayekuwa proud nae
Sio tunakutana na rafiki,ndugu na jamaa naanza "ooh huyu ni jirani yetu pale mtaani kwahiyo nmeongozana nae tu anatafuta mashuka"
namweka whatsapp uso nauweka bomba muemoj what the Hell f[emoji23][emoji23]
Wewe una akili, kifupi uko smart. OverTuna ile kitu tunaolewa au kuoa kwa sababu tu Dada/kaka fulani ana kazi fulani au ana mapesa.. basi ili nishow off kwa shoga zangu...
au naoa tu kwa sababu mwanammke mjasiliamali au mchapakazi kwahiyo tutasaidiana maisha... lakini kimwili hakidhi vigezo kabisa.
Naoa kwa sababu yule dada anaenda sana kanisani kajawa Roho mtakatifu
Naoa kwasababu umri umeenda
Naolewa kwa sababu umri ushaenda basi yoyote yule naolewa nae.
Naolewa ilimradi mme wangu
anafanya kazi ya maana serikalini hana vyeti bandia basi nna uhakika wa kula maishani..
Wengi tunaolewa na kuoa watu ambao hata 50% hawakidhi vigezo vyetu.. ila kwa jina la maisha,future basi acha tuoane..
Hatuoani ila tunakua tu business partners[emoji23][emoji23][emoji23] tuonazaa na watoto.
mm binafsi ntaolewa na mtu nnaye mpenda ,ntakayekuwa proud nae
Sio tunakutana na rafiki,ndugu na jamaa naanza "ooh huyu ni jirani yetu pale mtaani kwahiyo nmeongozana nae tu anatafuta mashuka"
namweka whatsapp uso nauweka bomba muemoj what the Hell f[emoji23][emoji23]
I have married but don't know kama ndo dream au vpi,nachojali ni ndoa na hata nikigegeda demi mzuri kiasi gani kumpita but sifikilii kuoa,naweza oa mwingine ukiwa tu sijaridhishwa na mwenendo wa tabia hayo mengine ni minor sanaNilidhani niko peke yangu
Eti ukimuona roho 'inashituka'..empty set kabisa
nahis kitaalam usioane na mtu usiempenda ili kupunguza suala la kuwa ma stress maana zinauaKitaalamu Unashauriwa Usioane na Mtu Mnayependana sana.
pole mkuuWife wangu wa kwanza nilimmaindi kwa sana full malovee,do ssi ndo sir god nae akammaindi,basi hamna noma,nikachukua mwingine mtoto full tabasamu kama ray c kumbe lilifuata vicent ingawa kazi zetu zafanana, tukashindwana ingawa nilipiga goti kwao(waislamu wanajua)
nikakamatia mwingine nipo nae,nae ni singo maza.full kuwasiliana na baba mtoto wake kwa siri,kwa kuwa mimi born town mishe zote najua,na zawadi ya mtoto nimepewa mwaka huu ni elo way wa msingi,life linasonga .
Kwa kifupi rahma wangu alivyodead ndo aliondoka na upendo wangu,wengine tunaishi nao tu.
sasa ukiolewa na unayempenda ndo waeza kuwa na Mastressnahis kitaalam usioane na mtu usiempenda ili kupunguza suala la kuwa ma stress maana zinaua
Kwanza ikitokea cheating ikitokea uwezekano wa Mmoja kujiua utakuwa mkubwa, pili kutokana na upendo ulionao hutoona madhaifu ya mwenza wako hasa katika swala la kimaendeleo kutokana na miwani ya upendoKwa nini???