kwanini watu wengi hawaipendi JF

kwanini watu wengi hawaipendi JF

Watanzania wengi tunapenda utani, vichekesho, maigizo, tamthilia nk. Humu ni kuandika na kusoma, kutoa hoja na kubishana kwa hoja, mtu mvivu wa kusoma(ambao pia wengi wapo humu, hawawezi hata kusoma mabandiko ya Pascal Mayalla hadi mwisho) hawezi kukaa humi na kuelewa, kuenjoy.

Kifupi sisi ni wavivu wa kusoma.
 
Wengi niliowafundisha kutumia Jf wamekimbia.
 
Back
Top Bottom