Costa concodia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2014
- 209
- 48
Wana dharau sana.
Urefu upi sasa.........wa kwenda chini au juu.......?
Kama kuna ukweli vile!
mmmh mmetuandama tu mtuache urefu ngongoti dharau debe hamtaki andamaneni
Ngoja nifanye tathmin kwa sababu kwetu wote ni warefu!!!
kwani urefu ni kuanzia kipimo gani vile?