Ongea Vyoootee, Ila shikilia hapo "ONE UI & Display" Hakuna wakumsogeleaMkuu Samsung display yao na ONE UI inafanya Samsung iwe UNIQUE.

kuna hizi samsung FOLD 5 na 6.Aiseee wakuu hii simu ni kali sana saaana, hata s26 nayo ni ya moto mno.Ongea Vyoootee, Ila shikilia hapo "ONE UI & Display" Hakuna wakumsogelea