Kwanini watu wanaogopa kufa?

terminal rally ipo na inajulikana , kuomba maji ipo kitabibu kabisa kwa baadhi ya watu , pia baadhi ya watu huwa wanajua wanakaribia kufa, hivyo huweza kuwaomba wapendwa wao ,wakalete kitu ili wa siwaone kwenye hiyo hali.
 
Mi sijawahi kuona mtu anakisogelea kifo, wote huwa tunakikimbia kifo. Hapo jibu ni kinyume cha kukipenda yaani hofu.
Unakiogopa kwa sababu haupo kwenye hiyo moment ,nimebahatika kukaa na wanaokufa na ugonjwa, wengi wao wanatulia tu na kusubiri na hata ukiwauliza kama wanaogopa wanasema hapana
 
Hapa nakubali kabisaa. Ni sawa na tajiri kuuogopa umasikini ila masikini hauogopi umasikini maana tayari anauishi na haunsumbui.
 
Aisee hapo kuna kubwa la kujifunza
 
Kufa ni muhimu tena kuna hekima kubwa sana ,hapa duniani hapajawahi kuwa na haki wala usawa...Mtu kama ana nguvu anaweza kukufanya chochote kile ,so bado malipo yapo baada ya kufa.
 
Hapa nakubali kabisaa. Ni sawa na tajiri kuuogopa umasikini ila masikini hauogopi umasikini maana tayari anauishi na haunsumbui.
Ipo kitabibu kabisa , hofu ipo ndani ya ubongo, na ni hisia zile ,kwenye moment ya kufa kila kitu kipo kwenye moment ya kufa ikiwa pamoja na hisia za hofu😅
 
Unakiogopa kwa sababu haupo kwenye hiyo moment ,nimebahatika kukaa na wanaokufa na ugonjwa, wengi wao wanatulia tu na kusubiri na hata ukiwauliza kama wanaogopa wanasema hapana
Wapo sahihi maana wanajua ukweli kwamba walikuja Duniani kutembea Sasa wanarudi nyumbani ila wanaweza kurudi tena Duniani maana roho haifi.
 
Kufa ni muhimu tena kuna hekima kubwa sana ,hapa duniani hapajawahi kuwa na haki wala usawa...Mtu kama ana nguvu anaweza kukufanya chochote kile ,so bado malipo yapo baada ya kufa.
Upo sahihi mkuu Dunia ndo sehemu ya hovyo kuliko sehemu yoyote ulimwenguni.
 
Ipo kitabibu kabisa , hofu ipo ndani ya ubongo, na ni hisia zile ,kwenye moment ya kufa kila kitu kipo kwenye moment ya kufa ikiwa pamoja na hisia za hofu😅
Bonge moja la somo hili. Kumbe sasa kinachotusumbua ni hofu ya future lakini kiuhalisia kama tungeishi the moment hakuna cha kuogopesha si ndio?
Very interested, kumbe hofu ni kuogopa yajayo ambapo si kweli.
 
Niliyaka majibu yako yawe kauli ya uthibitisho. Nje na hapo hiyo umeiokota vijiweni
Mimi nimeshuhudia mtu akitapatapa akaitwa jamaa mtu mzima akashauri apewe maji baada hapo alikufa Sasa nilijiuliza huyo aliyeshauri apewe maji alikuwa anajua au hajui alichokifanya mpaka Leo sijapata jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…