Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi wanapenda kuwachungulia walio kwenye daladala?

Wewe hauna mkuu? Jf kila mtu ana gari kasoro mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha waenda kwa miguu tuko wachache humu JF
Boda boda mnatupora simu sisi tulio kwenye madaladala

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo ki kazi zaidi
Mnatupa wakt mgumu tulio kwenye madaladala na wake zetu tunaonekana si lolote si chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatupa wakt mgumu tulio kwenye madaladala na wake zetu tunaonekana si lolote si chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi gari sina ila mara nyingi nikiazima ndio tabia yangu hiyo. Halafu kuhusu kupata wakati mgumu nadhani hiyo inakua hofu yako tu. Kama mkeo anaielewa hali yako ya nyumbani huna haja ya kuhofu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napendaga tu kuangalia wanaoendesha magari mazuri. Sasa kuna siku kimbelembele changu hiki wakati navuka barabara kukawa na Prado kali nikaisimamisha nivuke. Ile kumuangalia driver nusu nianguke barabarani. Alikua kavaa ninja na katia kinyago kwa juu. Nilihisi nimekutana na jambazi. Ila hiyo tabia sijaacha. Nikiona vigari vya kawaida wala siangalii ila haya mazuri naangalia tu nasema one day yes

Sent using Jamii Forums mobile app
una nini wewww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom