Kwanini watu wanao-cheat wanataka kusamehewa kirahisi tu?

Kwanini watu wanao-cheat wanataka kusamehewa kirahisi tu?

Mie nilikataa kumsamehe miaka mitatu anaomba msamaha, nikaona nimsamehe tu tena kwa sababu moja tu kila nikisali ,"baba yetu uliye juu mbinguni jina lako litukuzwe ufalme wako uje hapa duniani kama huko mbinguni "utusamehe deni zetu kama tunavyowasamehe waliotukosea" .Hii sala imenifanya nione aibu na fedheha mbele za Mungu kuomba msamaha kwa makosa yangu mengine makubwa kwa madogo wakati mimi siwezi kusamehe lakini sio kosa kama lile lake !
Nimemsamehe .....Ila anataka niwe kama zamani ,mazoea na mawasiliano na kila kitu wakati hisia zilikufa tena alikua na bahati yeye na mwenzie vyombo vya habari wangewapa taarifa.

Ni msumbufu nimemblock kila mahali mjinga sana yule mwanamke ! Nadhani kisha amini naweza ishi bila yeye Mungu amjalie riziki zake na afya.
No retreat no surrender hapa.
 
"Kumuua aliye kuumiza si dhambi kabisa"

Huu mstari naomba uwekwe lamination, kuna kiumbe nitamuua kwa mikono yangu mwenyewe, hata pachelewe. Nilishaapa kabisa.
Hahaha kumbe na wewe umeumizwa 🤣 pole
 
Shida kwa Sasa watu wanamindset yakumilikiana (wangu wa"kufa" na "kuzikana" - hapo kwanini msiuane)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom