uongo kwenye mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uhurumoja

    Kwanini watu wanao-cheat wanataka kusamehewa kirahisi tu?

    Unakuta mtu ana cheat hadi inakuwa hadharani yanamuendea vibaya unajua anaomba samahani na anakutaka usamehe uendelee kumchekea na kumfurahia kama zamani Yani kirahisi tu na huenda unalaumiwa kwa "kutokusamehe" Wakati mwingine ni rahisi kuhama kutoka yanga kwenda Simba kuliko kusamehe
  2. KikulachoChako

    Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

    Habari wakuuu, Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale, misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano. Moja ya mambo yaliyoshamiri kwenye ndoa na mahusiano ya nyakati hizi ni UONGO uliokithiri. Mimi binafsi niliwahi...
Back
Top Bottom