Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,121
- 114,152
Unateleza na ilichomoka ukairudishia? Mimi usaliti siwezi vumiliaHapana kuteleza kupo hakuna binadamu aliyekamilika
Unateleza na ilichomoka ukairudishia? Mimi usaliti siwezi vumiliaHapana kuteleza kupo hakuna binadamu aliyekamilika
Hata mimi nikijua nimesalitiwa siwezi kusamehe hilo kosaUnateleza na ilichomoka ukairudishia? Mimi usaliti siwezi vumilia
Niue akili inikae sawa...Au mtu anakutendea ovu kwa maksudi kabisa akitegemea nitarudi niombe msamaha yataisha.... singlemoms mnachukuliwa poa sana kwa sababu ya kusamehesamehe....Kuna muda kumuua aliyekuumiza si dhambi kabisa....pepo yako
We akili yako iko poa,ujana ukikuisha utatulia mwenyewe mazima...hata hivyo ushaanza kuwa poa sana...Niue akili inikae sawa...
Nasamehe ila siwezi kuendeleaHata mimi nikijua nimesalitiwa siwezi kusamehe hilo kosa
Nikujaze...We akili yako iko poa,ujana ukikuisha utatulia mwenyewe mazima...hata hivyo ushaanza kuwa poa sana...
Kwani Kuna mtu umempa mimba then umekimbia mkuu?
Unakuta mtu ana cheat hadi inakuwa hadharani yanamuendea vibaya unajua anaomba samahani na anakutaka usamehe uendelee kumchekea na kumfurahia kama zamani
Yani kirahisi tu na huenda unalaumiwa kwa "kutokusamehe"
Wakati mwingine ni rahisi kuhama kutoka yanga kwenda Simba kuliko kusamehe
Unataka vita usikuusikuNikujaze...
Vita na wewe... Nakumudu hunisumbui...Unataka vita usikuusiku
Inaumiza sana hii mkuuNasamehe ila siwezi kuendelea
7 X 70 = 490 ! Balthazar Engonga alibakisha 90!Biblia inasema samehe saba mara 70, fanya kumsamehe huyo mtoto wa watu
Naujua udhaifu wako... 😊😊Hakika unanimudu,sijui imekuwaje?🤦
7 X 70 = 490 ! Balthazar Engonga alibakisha 90!
Ndiyo nani huyo mkuu😁😁😁7 X 70 = 490 ! Balthazar Engonga alibakisha 90!
We humjui uyu mwamba😹😹🙌🏾Ndiyo nani huyo mkuu😁😁😁
Yaishe, maana...Huenda ndiyo umekuwa mtu wa kwanza kutimiza ndoto zangu za kuwa chini ya mwanaume kwa asilimia nyingi mno.... Hakika upendo huzidi vyote.I respect you much... sincerely from my heart 🙏🙏
Usifute...Nafuta