Rhabhekhaaa!!Com on you Cocastic
Point👍👍👍👍Kama Mwanamke ndio kasalitiwa, sijui achukue hatua gani Hawa watu waliongea vitu vingi na shetani.
Ila kama ni Mwanaume ndio kasalitiwa:
1.Muache haraka huyo Mwanamke asije akakuua kwa huzuni, simanzi au hata kuwekewa sumu.
2. Brother hata ukimpa msamaha, hauwezi kumsamehe kwa asilimia zote, bado kauchungu katabaki either ufanye mauaji au ufe kwa sonona.
3.Hamuwezi kuaminiana tena
4.Fanya mipango yako nje ya yeye
5.Tafuta mbadala wake taratibu
6.Piga chini
La mwisho na muhimu, ukitoa msamaha halafu ukaanza kukumbushia wewe ndio mkorofi na hufai.
Wanawake wanaelewa tit for tat
Duh! Huu ukatili mkubwa sana alifanyiwaIla cheating hapana aisee Kuna jamaa alikufa amekaa kwenye kiti kwenye kikao Cha usuluhishi baada ya kugundua watoto wawili sio wake🙌🙌
Ahsantee.😥Dah pole sana mkuu
Sina neno zaidi
Kesho yangu ishakua bora toka juzi.Nakusihi sana usiue huenda kesho Yako ikawa Bora zaidi bila yeye
Fanya zoezi la kuwacheat ili nawao wapate maumivu, (experience sharing)Unakuta mtu ana cheat hadi inakuwa hadharani yanamuendea vibaya unajua anaomba samahani na anakutaka usamehe uendelee kumchekea na kumfurahia kama zamani
Yani kirahisi tu na huenda unalaumiwa kwa "kutokusamehe"
Wakati mwingine ni rahisi kuhama kutoka yanga kwenda Simba kuliko kusamehe
Dah! Pole yake aisee hapo hawezi kuamini tena wanawakeIlikuwa mbeya jamaa driver wa magari makubwa safari safari kumbe wife ye anazaa na jamaa mwingine shida ya mapenzi hayafichiki
Ndio mnajifichia kwenye hicho kichakaBiblia inasema samehe saba mara 70, fanya kumsamehe huyo mtoto wa watu
Hapana kuteleza kupo hakuna binadamu aliyekamilikaNdio mnajifichia kwenye hicho kichaka