Kwanini watu wanao-cheat wanataka kusamehewa kirahisi tu?

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,504
Reaction score
27,287
Unakuta mtu ana cheat hadi inakuwa hadharani yanamuendea vibaya unajua anaomba samahani na anakutaka usamehe uendelee kumchekea na kumfurahia kama zamani

Yani kirahisi tu na huenda unalaumiwa kwa "kutokusamehe"

Wakati mwingine ni rahisi kuhama kutoka yanga kwenda Simba kuliko kusamehe
 
Biblia inasema samehe saba mara 70, fanya kumsamehe huyo mtoto wa watu
 
Au mtu anakutendea ovu kwa maksudi kabisa akitegemea nitarudi niombe msamaha yataisha.... singlemoms mnachukuliwa poa sana kwa sababu ya kusamehesamehe....Kuna muda kumuua aliyekuumiza si dhambi kabisa....pepo yako
Kuua hapana!ila kama mtu atavuka mipaka kutaka kukudhuru au kudhuru familia jilinde
 
Hakika, kusamehe kosa la kucheatiwa inahitaji process wa kutafakari kwa kina
Ni kweli maana sababu ya mwanamke kuachana na huyo secret lover wake ni baada ya huyo jamaa kucheat akagundua kwenye purukushani ndio jamaa akaipata story 🙌🙌🙌🙌ila dunia imekuwa uwanja wa fujo sana
 
Au mtu anakutendea ovu kwa maksudi kabisa akitegemea nitarudi niombe msamaha yataisha.... singlemoms mnachukuliwa poa sana kwa sababu ya kusamehesamehe....Kuna muda kumuua aliyekuumiza si dhambi kabisa....pepo yako
"Kumuua aliye kuumiza si dhambi kabisa"

Huu mstari naomba uwekwe lamination, kuna kiumbe nitamuua kwa mikono yangu mwenyewe, hata pachelewe. Nilishaapa kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom