Kwanini watu wananiogopa sana?

Kwanini watu wananiogopa sana?

Wasalaam...

Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.

Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.

Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.

Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!

Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!

What is this?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu Tigo imeoza
 
ongeza pesa,pesa inaleta wanafiki wote wa dunia hii,,hata mimi nikiwa kijana niliyewahi kupata fursa nikiwa mzee enzi hizo mr.blue anatamba nilishangaa binti mmoja mdogo akinifananisha na MR.blue hahhhhha sijui yuko wapi leo.?
 
Wasalaam...

Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.

Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.

Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.

Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!

Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!

What is this?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata marehemu huambiwa mwema wakati yeye alikua mbaya,,,so kuambiwa wewe ni Handsome sio tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka zangu niliozaliwa nao tumbo moja wananiogopa sana! Kila nikijitahidi kujichekesha chekesha ili angalau wasiwe na hofu ndio nazidi kuharibu kabisa. Jinsi wanavyoongea na mimi ni kana kwamba wanajishusha na kuwa wadogo mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfukoni vipi ni chenji chenji au inatosha kubadilisha mboga? Yawezekana unazitumia kuintimidate wengine. Nijuavyo from experience mlala hoi yeyote hata kama ana sura ngumu hawezi kuzua hofu ya kiwango unachoelezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu haogopwi kwa mwonekano pekee. Huo ni uwongo, meaning you're delusional. Matendo ndiyo humfanya mtu aogopwe. Au pengine inawezekana tafsiri yako ya neno kuogopwa siyo sahihi.
 
MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA

Habari za muda huu kwa mara nyingine tena

Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu

naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu

Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...

Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana

Elimu yangu: Degree

Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)

Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)

Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya

》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering

》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography

》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo

》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)

》Computer Networking

》 System analysis and design

MSAADA WENU WAUNGWANA

MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA

KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU

NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY

NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO

MUNGU WABARIKI SANA

NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI

NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
Mbona Mimi nimegraduate mwaka Jana chuo na sasa hivi niko nimeajiriwa kwenye taasisi kubwa tu nchini.

Muombe Munge atakusaidia, usichague kazi, jichanganye na watu, kuwa mmnyenyekevu kwa watu muda huu ambao unatafuta ugali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapo kuangalia hawakuoni wewe Mkuu wanaona aliye ndani yako hongera sana kama kweli

Back
Top Bottom