Kwanini watu wananiogopa sana?

Kwanini watu wananiogopa sana?

ongeza pesa,pesa inaleta wanafiki wote wa dunia hii,,hata mimi nikiwa kijana niliyewahi kupata fursa nikiwa mzee enzi hizo mr.blue anatamba nilishangaa binti mmoja mdogo akinifananisha na MR.blue hahhhhha sijui yuko wapi leo.?
Uoga na kujipendekeza ni vitu viwili tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUOGOPWA NA KUCHUKIWA, SIJUI NIFUNGUE UZI??

MIMI NI HIVI,

NIKIFIKA SEHEMU NAOGOPWA NA KUHESHIMIWA KUPITILIZA, HUKO USUKUMANI, WAZEE NA VIJANA WANANSALIMIA SHIKAMOO

WAKINIZOEA SANA, WANANIKOSEA HESHMA KWA UTANI MWIGI,
SIPENDI, UNAJUA WATU WAREFU HATUPENDI BAADHI YA MAUTANI, HASA YA KUSHIKANA NA KUPIGANA,

SEHEMU ZINGINE NACHUKIWA, UNAKUTA NAWEZA JINYENYEKEZA LAKINI MTU AKANITOLEA KAULI MBAYA,

INAWEZEKANA NDO NIMEFIKA TU KWA MARA YA KWANZA OFIS FULANI, MTU AKAANZA KUNIANGALIA KWA JICHO LA KISASI,

AKANIAMBIA HATA MANENO YA KUKWAZA,

KUNA SIKU HUKO DODOMA NILIKUWA NAUGUZA, KILA NIKIPITA GETINI HOSPITALI YA MKOA, WALINZI WANAFUNGUA GETI HUKU LUNDO LA WATU WAMEZUIWA GETINI,

JAMBO LINGINE NI KWAMBA WANAWAKE WANAPATA SANA SHIDA KUNIKATAA,



Sent using Jamii Forums mobile app
uhh..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam...

Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.

Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.

Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.

Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!

Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!

What is this?

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha yako watu wakuthaniminishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom