Kwanini watu wananiogopa sana?

Kwanini watu wananiogopa sana?

Kuwa mkimya na usiye na maneno mengi huwa ina-create nguvu fulani ambayo watu wengi wanashindwa kupingana nazo. Hii pia nimeiona kwa watu wachache na unaweza kuitumia kuwa-intimidate maadui zako
 
unatumia zile vitu mbili za Simba? ( kama hutumii una lijamaa mkuu, kauzu mnoo kama mimi, je mbwa wakikuona wanakimbia? je ushawahi kukutana na watu wakikuona wanabadili njia au ukipanda daladala kuna watu wanashuka wamechukia? mimi nilikuwa hivyo, ila mimi nilikuwa naona na wenge muda mwingine watu wanawaka moto mdomoni, ila nimepona mkuu, kuna bi mkubwa mmoja aliniambia ukitaka hayo yasikukute we fanya mambo ya kishenzi shenzi utakaa fresh...hivi niko fresh sioni wenge ila ilikuwa hata nikikutana na mbwa usiku anatoka nduki, vigagula vinabadili njia na kuna mitaa walikuwa wakinisema mtoto mdogoo ila mchawi, na kuna siku hata wife alipiga kelele usiku akisema nilimtisha, cjui nilimtisha nini...

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kwa mafumbo lakini kwa mbali nakuelewa! Kuna muda nikikaa kwenye viti vya public au mahali popote public, baadhi ya watu wananikwepa wanaenda kukaa mbali na mimi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok kikubwa ni kuwa huchangamani na watu hivyo, inakufanya kuwa stranger hata katika mazingira ambayo ulipaswa kuzoeleka.. Im somehow the same

Kama hata watu wasiokujua huwa hivyo bhasi una nguvu ambayo hujui kama unayo.. Maybe ni nguvu kubwa kuliko uwezo wako unavyouchukulia na pengine ukiijua ndipo utakuwa mwanzo wa kujijua zaidi (kujitilia shaka ni dalili ya kuwa hujijui vyema)..

Cha msingi tafuta kujijua na hili litakuwa rahisi kama utakaa na watu waliokuzidi kwa vitu vingi..Hii itaondoa hiyo hali ya kuwa tofauti na superior

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuu, umeandika mambo mazito sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hasira hasira za haraka haraka?, uko serious sana?, una tabia ya kujitenga tenga?, una tabia ya kuzira zira, bahiri sana? Mbea mbea? Una ringa na kujisikia saba? Una dharau? Angalia hapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam...

Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.

Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.

Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.

Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!

Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!

What is this?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu pole sana, hakika watu wa namna hiyo wapo ingawa ni wachache, kwa kawaida kila mtu huwa anayo nguvu fulani ambayo ambayo huathiri mtu mwingine kitaalamu inaitwa "body magnetism (BM)" na zipo BM za aina mbalimbali mfano zipo za mvuto (charisma),za ushawishi,kuogopesha, kukubalika nk, sasa inaweza kutokea mtu fulani akawa na moja kati ya nguvu hizo ikajitokeza zaidi (prevail) kuliko zingine na hapa ndiyo case yako kwamba nguvu ya kuogopesha imejitokeza zaidi kuliko zingine.

Kwakuwa umejitambua basi jaribu kuwa karibu na watu (social), na jaribu kujenga tabasamu na ucheshi unapokuwa na watu kwa njia hii utakuwa unajaribu kuficha ile nguvu ya kuogopesha njia hii inaitwa (forced cover up) na ukiizoe njia hii utajenga tabia na hapo utakuwa umejitibu huo "ugonjwa wa kuogopesha", naita ugonjwa kwa sababu si kitu kizuri kuwa na kitu kinachoogopesha watu "involuntarily", isitoshe ni kitu ambacho hukujitakia. Pole sana mkuu.
 
Asante mkuu... ujumbe mzito huu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUOGOPWA NA KUCHUKIWA, SIJUI NIFUNGUE UZI??

MIMI NI HIVI,

NIKIFIKA SEHEMU NAOGOPWA NA KUHESHIMIWA KUPITILIZA, HUKO USUKUMANI, WAZEE NA VIJANA WANANSALIMIA SHIKAMOO

WAKINIZOEA SANA, WANANIKOSEA HESHMA KWA UTANI MWIGI,
SIPENDI, UNAJUA WATU WAREFU HATUPENDI BAADHI YA MAUTANI, HASA YA KUSHIKANA NA KUPIGANA,

SEHEMU ZINGINE NACHUKIWA, UNAKUTA NAWEZA JINYENYEKEZA LAKINI MTU AKANITOLEA KAULI MBAYA,

INAWEZEKANA NDO NIMEFIKA TU KWA MARA YA KWANZA OFIS FULANI, MTU AKAANZA KUNIANGALIA KWA JICHO LA KISASI,

AKANIAMBIA HATA MANENO YA KUKWAZA,

KUNA SIKU HUKO DODOMA NILIKUWA NAUGUZA, KILA NIKIPITA GETINI HOSPITALI YA MKOA, WALINZI WANAFUNGUA GETI HUKU LUNDO LA WATU WAMEZUIWA GETINI,

JAMBO LINGINE NI KWAMBA WANAWAKE WANAPATA SANA SHIDA KUNIKATAA,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam...

Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.

Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.

Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.

Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!

Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!

What is this?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema sana kuwaogopa vichaa au yeyote ambao unahisi anaweza kuwa na tatizo LA akili. Nyie watu hata mkimdhuru mtu huwa hamna kesi kabisa. Acha wakuepuke mkuu. Uliza ndugu au wazazi wako kama wapo. Huenda ulishawahi kuugua kichaa na vyeti wamekutunzia wewe hujui ila wanaokuzunguka wanajua. Ndiomaana wanakuanya chief. Pole aisee
 
Back
Top Bottom