May be uko serious sana..May be hauko politely the way you talk..May be unaongea kwa ukali ukali..may be uko stressed bila kujijua..may be una over confidence..may be mtaa wa unaokaa ww ndio unaonekana unavisenti..may be uoga wao tu..may be wenge lako tu kuonwa unaogopwa kumbe hamna lolote..may be stimu unazotumia unajiona kama Vandame..may be ..may be ..may be...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka mkeo asemeje zadi ya hivyo?Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!
What is this?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok kikubwa ni kuwa huchangamani na watu hivyo, inakufanya kuwa stranger hata katika mazingira ambayo ulipaswa kuzoeleka.. Im somehow the sameBinafsi sina tatizo, lakini tatizo linakuja pale watu wanapoonyesha kunyong'onyea hususani nikiwa naongea nao!! Wanapapatika sana kiasi kwamba najiuliza shida nini! Sauti yangu naiweka chini na nakwepa kutizamana nao machoni lakini bado wanatetemeka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikwapa kutema ndio hata boss ashindwe kumpatia majukumu ya kiboya?!Unanuka mdomo wanaogopa kuongea na wewe.
Jitahidi kunawa vzr na may be una Kikwapa kinachotema kiaina. Nahisi hivyo wanaogopa kuwa Kari u na kukuambia tena.
Tofa



Mkuu kwa hii taaluma yako Kama unaiweza na unaibobea Vizuri kama ulivyoandika hapa usisumbuke Sana kutafuta ajira.MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA
Habari za muda huu kwa mara nyingine tena
Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu
Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu
naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu
Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...
Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana
Elimu yangu: Degree
Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)
Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)
Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya
》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering
》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography
》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo
》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)
》Computer Networking
》 System analysis and design
MSAADA WENU WAUNGWANA
MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA
KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU
NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY
NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO
MUNGU WABARIKI SANA
NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI
NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
Karibu..
Lazima kuna jibu hapo.....eti anajiona vandameMay be uko serious sana..May be hauko politely the way you talk..May be unaongea kwa ukali ukali..may be uko stressed bila kujijua..may be una over confidence..may be mtaa wa unaokaa ww ndio unaonekana unavisenti..may be uoga wao tu..may be wenge lako tu kuonwa unaogopwa kumbe hamna lolote..may be stimu unazotumia unajiona kama Vandame..may be ..may be ..may be...
Sent using Jamii Forums mobile app