Kwanini watu wananiogopa sana?

Kwanini watu wananiogopa sana?

1.mkimya sana
2.mpole sana
3.unauhusiano mdogo na jamii
4.muoga
5.mkali
6.muda mwingi unapenda kukaa na watu wa aina gani. ?
7.unajisikia furaha na huru ukikaa pekee au na watu.?
8.unapendelea kufanya nini.?
9.ni vitu gani vya kutumia akili unapenda kuvifanya na huwa unavifanya vyema.? Taja zaidi ya kimoja
10.kazi gani unapenda kizifanya.?

Mkuu maswali yajibu hizo tabia ambazo unazo ziandike namba zake
 
- mkimya sana

- sichangamani na watu.

-napenda kukaa mwenyewe.

-napenda kusoma vitabu, kuangalia movie, na kusikiliza music.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom