Kwanini watu wanakumbushia?

Kuna wimbo mmoja wa zilipendwa uliimbwa na bendi ya JWTZ (Jeshi la Wakurya Tangu Zamani???), una kibwagizo......."tuachane kwa wema mamaa, ili tukijakutana popote pale, tusalimiane, ikiwezekana turudiane (of course siyo TUKUMBUSHIANE!!!), cha kujiuliza je, mliachana mkiwa mnapendana? Au nini kilisababisha kutengana kwenu? Kuna rafiki yangu mmoja, yeye alikuwa bado anasoma sec. school, alikuwa na gf wake ambaye kuna siku alimwambia (rafikiangu), achague kusoma au waoane, jamaa akachagua kusoma!! Baada ya miaka kadhaa kupita, jamaa akiwa tayari ameoa na bibie ameolewa, walikutana na kuanza "KUKUMBUSHIA", jamaa wana miaka zaidi ya mitano BADO WANAKUMBUSHIA!!!!!
 
Alafu mm haka katabia ka kukumbushia ninako sana hata nikienda kijijini lazima nikumbushie nikienda Chuda lazima nikumbushie nikienda Shycom lazima nikienda Mbeya lazima nitafute koloni langu la enzi hilo na tunakumbushia.

Duh! Mpwa kumbe umesoma Shycom? :) Usikute tunafahamiana! :)
 
Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa wako na wapenzi wengine au na ndoa zao!

yanipita uwezo wangu wa kufikiri.. Sasa mtu akikataa kukumbushia ndio inakuwa urafiki wenye mashaka?

Mkuu! hii inatokea automatic esp pale mnapokutana maeneo ambayao mapenzi yalikuwa kwenye peak. Pia kama uliyoko naye kwa hivi sasa hana quality za ex mkikutana mnaweka mikono juu mnasahau shida zenu.
 
bado sijakutana nae kiukweli ..lakini kama wote mnajua kila mtu yuko katika mahusiano kwanini muendelee kuombana tundi...:D

Hamuombani, yaani siku ukikutana naye utashangaa tu inayotokea ''very automatically''! :)
 
Kuna wimbo mmoja wa zilipendwa uliimbwa na bendi ya JWTZ (Jeshi la Wakurya Tangu Zamani???), una kibwagizo......."tuachane kwa wema mamaa, ili tukijakutana popote pale, tusalimiane, ikiwezekana turudiane (of course siyo TUKUMBUSHIANE!!!), cha kujiuliza je, mliachana mkiwa mnapendana? Au nini kilisababisha kutengana kwenu? Kuna rafiki yangu mmoja, yeye alikuwa bado anasoma sec. school, alikuwa na gf wake ambaye kuna siku alimwambia (rafikiangu), achague kusoma au waoane, jamaa akachagua kusoma!! Baada ya miaka kadhaa kupita, jamaa akiwa tayari ameoa na bibie ameolewa, walikutana na kuanza "KUKUMBUSHIA", jamaa wana miaka zaidi ya mitano BADO WANAKUMBUSHIA!!!!!

Duh! Hao kiboko! Hiyo inaitwa EXECUTIVE CHEATING!! :)
 
Yeah ni kweli kukumbushia muhimu na kama umeoa mke used ukae ukijua mahawala iwa hawaachani hata wakipotezana miaka 20 au 30 lazima wakumbushie penzi lao la dhamani hii haikwepeki.

Mkulu,

Hongera zako,kwani kwa maneno mengine wewe Umeoa BRAND NEW au siyo?
 
Kuna wimbo mmoja wa zilipendwa uliimbwa na bendi ya JWTZ (Jeshi la Wakurya Tangu Zamani???), una kibwagizo......."tuachane kwa wema mamaa, ili tukijakutana popote pale, tusalimiane, ikiwezekana turudiane (of course siyo TUKUMBUSHIANE!!!), cha kujiuliza je, mliachana mkiwa mnapendana? Au nini kilisababisha kutengana kwenu? Kuna rafiki yangu mmoja, yeye alikuwa bado anasoma sec. school, alikuwa na gf wake ambaye kuna siku alimwambia (rafikiangu), achague kusoma au waoane, jamaa akachagua kusoma!! Baada ya miaka kadhaa kupita, jamaa akiwa tayari ameoa na bibie ameolewa, walikutana na kuanza "KUKUMBUSHIA", jamaa wana miaka zaidi ya mitano BADO WANAKUMBUSHIA!!!!!
hahahahaaaa!! mwambie hatujamaliza kuhani msoba wa MC Lema!! (dam! that a long time)
 
Ila mimi binafsi napinga huu upuuzi na ujinga. Tuweke maadili ya kiroho mbele kama kuna mapungufu kwa current lovers ni kurekebishana tu.
 
kwa hiyo mzee HAUKUMBUSHIAGI KABISA?......:D
 
Kama kukumbushia ni sunnah basi ifanyike vile vile kama zamani...kama long mlikuwa mnacheza bila viatu na kwenye kukumbushia basi iwe vivyo hivyo!
Vinginevyo hamtapata ile flavor na hapo itakuwa ni kuanzisha mahusiano mapya. Na mahusiano mapya ambayo yanamfunga kila mmoja wenu (mmeoa/mmeolewa) yaweza kuleta mtafaruku kwenye penzi la sasa!
 
halafu huyo demu, hasikii wala haoni!! Jamaa naye kafa kaoza.....nimemshauri sana, lakini ni ile ya kumpigia mbuzi gitaa!!
 
Back
Top Bottom