Mimi huwa nawashangaa sana , kuna vijana wanakunja mpunga huko Youtube tusiwachukulie poa. Mwaka uliopita Diamond kakunja zaidi ya bilion 6 youtube kwa nyimbo yake
Diamond Platnumz earns over Sh6.8 billion on YouTube in 2024
Kwa haraka haraka kipato chake kwa mwezi ni milion 37-mpaka .milion 100 sasa mtu kama huyo atakosaje bilion ?
NB watengeneza maudhui huko yutube tusiwachukulie poa hata kidogo kama google wanalipa Kwa CPM 1.9$ na mtu kwenye ka clip kamoja ana views 300k ndani ya siku chache tu hata wiki haipiti unadhani anakunja kiasi gani?
Ningekuwa najua kuigiza 🤣 ninhefungua channel leo
View attachment 3311877
View attachment 3311878