Kwanini watu wanakataa Clam Vevo sio Bilionea?

Mimi huwa nawashangaa sana , kuna vijana wanakunja mpunga huko Youtube tusiwachukulie poa. Mwaka uliopita Diamond kakunja zaidi ya bilion 6 youtube kwa nyimbo yake Diamond Platnumz earns over Sh6.8 billion on YouTube in 2024

Kwa haraka haraka kipato chake kwa mwezi ni milion 37-mpaka .milion 100 sasa mtu kama huyo atakosaje bilion ?

NB watengeneza maudhui huko yutube tusiwachukulie poa hata kidogo kama google wanalipa Kwa CPM 1.9$ na mtu kwenye ka clip kamoja ana views 300k ndani ya siku chache tu hata wiki haipiti unadhani anakunja kiasi gani?

Ningekuwa najua kuigiza 🤣 ninhefungua channel leo

View attachment 3311877

View attachment 3311878
Hakuna mtu anayelipwa hizo hela Youtube, acheni kudanganya. Youtube wangekuwa wanalipa hizo hela kina Drake wasingehitaji kuwa na record label wala kuweka nyimbo zao kwenye streaming platforms.
 
Hujielewi mkuu.
 
Content za kiswahili, ina maana watazamaji wake ni Kutoka Huu ukanda wetu East Africa, View laki 3 hela ya kawaida mno, ni hela tu ya kubadilisha mboga hamna Bilioni hapo.
Mwambie huyo mzushi. Yaani content for Africa yenye views 300k mtu awe bilionea? Ingekuwa rahisi hivyo kina Mr Beast wangekuwa matrilionea wa dola.
 
We mpuuzi kweli aliyesema views 300k unakuwa bilionea ninani? Angalia total views ya channel acha kuropoka fala wewe
 
Hata ukipiga total views kwa mwaka mzima bado hapati hiyo hela.
Chukua totally views ya channel yake Devide by 1000 X entertainment tanzania youtube CPM , then ukija kubishana hapa uje na data
 
Kwa contents zip ambazo zilimpeleka kimataifa?...huyo clam aache kufake...hamfikii hata zerobrainer
 
Mimi huwa nawashangaa sana , kuna vijana wanakunja mpunga huko Youtube tusiwachukulie poa. Mwaka uliopita Diamond kakunja zaidi ya bilion 6 youtube kwa nyimbo yake Diamond Platnumz earns over Sh6.8 billion on YouTube in 2024

Kwa haraka haraka kipato chake kwa mwezi ni milion 37-mpaka .milion 100 sasa mtu kama huyo atakosaje bilion ?

NB watengeneza maudhui huko yutube tusiwachukulie poa hata kidogo kama google wanalipa Kwa CPM 1.9$ na mtu kwenye ka clip kamoja ana views 300k ndani ya siku chache tu hata wiki haipiti unadhani anakunja kiasi gani?

Ningekuwa najua kuigiza 🤣 ninhefungua channel leo

View attachment 3311877

View attachment 3311878
Inaweza kuwa kweli na inaweza kuqa si kweli kutokana na watazamaji wake na pia urefu wa clip pia. Ila in general contents kwa sasa zinalipa sana ukipata viewers ambao wanapenda unachofanya
 
Kweli mkuu
 
Ninavyofikiria ni kua Chibu ana hela ya kawaida sio vile watu wanavyodhani....
anafanya bragging sana
Huwezi kufanya bragging kama huna hela kwani kufanya bragging napo kunahitaji hela.
 
Back
Top Bottom