Kwanini watu wanakataa Clam Vevo sio Bilionea?

Kwanini watu wanakataa Clam Vevo sio Bilionea?

Mimi huwa nawashangaa sana , kuna vijana wanakunja mpunga huko Youtube tusiwachukulie poa. Mwaka uliopita Diamond kakunja zaidi ya bilion 6 youtube kwa nyimbo yake Diamond Platnumz earns over Sh6.8 billion on YouTube in 2024

Kwa haraka haraka kipato chake kwa mwezi ni milion 37-mpaka .milion 100 sasa mtu kama huyo atakosaje bilion ?

NB watengeneza maudhui huko yutube tusiwachukulie poa hata kidogo kama google wanalipa Kwa CPM 1.9$ na mtu kwenye ka clip kamoja ana views 300k ndani ya siku chache tu hata wiki haipiti unadhani anakunja kiasi gani?

Ningekuwa najua kuigiza 🤣 ninhefungua channel leo

View attachment 3311877

View attachment 3311878
Content za kiswahili, ina maana watazamaji wake ni Kutoka Huu ukanda wetu East Africa, View laki 3 hela ya kawaida mno, ni hela tu ya kubadilisha mboga hamna Bilioni hapo.
 
Content za kiswahili, ina maana watazamaji wake ni Kutoka Huu ukanda wetu East Africa, View laki 3 hela ya kawaida mno, ni hela tu ya kubadilisha mboga hamna Bilioni hapo.
Views laki 3 ni kipande kimoja hicho🤣
 
Views laki 3 ni kipande kimoja hicho🤣
Ndio, kama kipande kimoja kapata $200 ukitoa production cost, camera, editing etc inabaki nini? Si hela tu ya mwalimu hio?

Hao wanaofanikiwa na YouTube wana target Cpm za nje huko, ukisikia Diamond anaimba Coma sava sio kwamba sio mzalendo wa kiswahili bali anajua hakilipi. View laki 3 kibongo bongo ngumu kulipa.
 
Unajua CPM ya bongo kwenye content za burudani? Angalia hiyo ya bongo, Congo, na kenya halafu uje hapa tufanye calculations hata hivyo 200$ hiyo hata kama ana uwezo wakuipata kwa siku bado ni pesa nyingi ambayo inaweza kumzalishia bilion kwa miaka aliyokaa huko Youtube
 
Angekuwa na Tsh Bilioni 6 asingekuwa anahangaika na kununua magari used. Nenda kwa wenye hela huko Nigeria uone maisha wanayoishi.

Huyu Diamnond wenu hata mhawara aliowazalisha kutunza watoto tu mpaka wampeleke Mahakamani!! Huyo hafanani na Bilioni 6
Kwa diamond hiyo hela ni ndogo yule jamaa ana hela..
Anaingiza hela online channels nyingi sana.. ana show za kutosha matangazo ndio usiseme bado mabiashara amabayo anashare na watu yaani deals zinamfuata kila kukicha..
Inshort ni ana pesa tena pesa ndefu nakwambia.

Sisi wengine tuendelee kupambana bila kuchoka labda zamu zetu zitafika pia.
 
Back
Top Bottom