Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,177
- 18,882
Au akifiwaSiku akiumwa tutajua.
Au akifiwaSiku akiumwa tutajua.
basi tu sisi watanzania wengi hatuna hela ila kiuhalisia jamaa ana hela ya kawaida tu sio nyingi kama anavyobraghata mimi nilikua naamini hivyo mpaka siku nilipopishana nae usiku wa manane kwenye msafara wake kulikua na v8 moja tu na mdio ilikua gari ya kipumbafu nikajisemea moyoni this kid is rich in european standards
Watu wangeacha kazi zote wakawa YouTubers kama Cpm ingekuwa $4 bongo.Sitaki kubishana nawewe ila avarage CPM 1.8$-4$ tena kama unapata wakenya na wakongo ukimx hapo
I .Kwa diamond hiyo hela ni ndogo yule jamaa ana hela..
Anaingiza hela online channels nyingi sana.. ana show za kutosha matangazo ndio usiseme bado mabiashara amabayo anashare na watu yaani deals zinamfuata kila kukicha..
Inshort ni ana pesa tena pesa ndefu nakwambia.
Sisi wengine tuendelee kupambana bila kuchoka labda zamu zetu zitafika pia.
UnadhanI nirahisi? Kwamba kila mtu anaweza kufanya? Mbona Traffic ya popads USA na Newzeland ni CPM 900$ na kila mtu hajawa blogger? Usidhani kila kitu nirahisi mkuuWatu wangeacha kazi zote wakawa YouTubers kama Cpm ingekuwa $4 bongo.
Hii article nzuri yenye ushahidi ya Kenya
![]()
Taxing digital content creators: Kenyans say YouTube payments are too low to tax
Kenyans raised concerns over Finance Bill 2023, including a proposed 15% withholding tax on digital content monetization, which could burden digital creators.www.tuko.co.ke
Hapo ukiangalia Cpm ni 100-200Ksh
2000-4000 kwa CPM
So hio video ya 350k ni 700,000 hadi 2.8M
Hapo toa production ya video na gharama nyengine kunabaki nini? Na video hizo za burudani ni 700,000 zaidi kuliko 2.8M, video za proffesionals ndio zinakaribia hio 2.8M.
alikua na rolls Royce na escalades mbili na v8 , hizi sio ngoma za average joes , apo nikibunda kimeruka , hata mbele kwenyewe hivyo vyombo vinashtua kiainabasi tu sisi watanzania wengi hatuna hela ila kiuhalisia jamaa ana hela ya kawaida tu sio nyingi kama anavyobrag
Mbona YouTube kuna matangazo balaa, au unahisi ni bure?Najiulizaga, wao youtube wanalipwaga na nani?
Mmmmh hiyo hela ya kawaida ndo pesa ngapi mkuu? Mi nafikiri Diamond ni tajiri haswaaa huyu kijana ipo pesa mingiNinavyofikiria ni kua Chibu ana hela ya kawaida sio vile watu wanavyodhani....
anafanya bragging sana
Mwenye hela hajitangazi, watu ndiyo wanamuona kwa mzigo na assets zake. Wewe hata kama ni chawa wake tuliza makalio tuacha kuchanganya mambo mkuu,kuwa na hela hakuhusiani na uwajibikaji kama huo unaousema hapa,,
Youtube huwa wanaingia mkataba na advertisers au makampuni ambayo yanahitaji bidhaa zao kutangangazwa, then wao Youtube wanatumia hizi contents kama miziki na maigizo kutangaza hizo bidhaa ili ziwafikie walaji.Najiulizaga, wao youtube wanalipwaga na nani?
Wewe umesema kweli ila kuna huyu Kelvin35 chawa wa diamond anatoka povuKwa diamond hiyo hela ni ndogo yule jamaa ana hela..
Anaingiza hela online channels nyingi sana.. ana show za kutosha matangazo ndio usiseme bado mabiashara amabayo anashare na watu yaani deals zinamfuata kila kukicha..
Inshort ni ana pesa tena pesa ndefu nakwambia.
Sisi wengine tuendelee kupambana bila kuchoka labda zamu zetu zitafika pia.
sawa nimekuelewaMwenye hela hajitangazi, watu ndiyo wanamuona kwa mzigo na assets zake. Wewe hata kama ni chawa wake tuliza makalio tu
asante,nimeanza kupata mwangaYoutube huwa wanaingia mkataba na advertisers au makampuni ambayo yanahitaji bidhaa zao kutangangazwa, then wao Youtube wanatumia hizi contents kama miziki na maigizo kutangaza hizo bidhaa ili ziwafikie walaji.
Sasa hapo ndo content creaters wanapotengeneza pesa mkuu. Kuna mambo mengi sana hapo ila in short ndo hivo