Kila mtu afanye kinachompa furaha,
Ukiishi kuwapendezesha wanadamu ni kazi bure,
Jikubali, jipende,
Kwenda out kutembea kunywa ama kula unaweza enda peke yako na kila kitu kikawa ok,
Ukiwa na watu pia zaidi sana ni kampani tuu,
So ishi maisha yako, everything is hard, choose your hard