Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,080
- 41,575
Kaka Mimi nipo kaka 😊 tuta exchange namba soon..Nakutafuta bila mafanikio, familia yako haijambo? Vipi kuhusu wewe bruh
Smirnoff ni za kiume kumbe 🤔
zinauzwa shngp maake mm ni Heineken au safari, emKaka Mimi nipo kaka 😊 tuta exchange namba soon..
Miss you pia..
Smirnoff black ice ni nzuriii Tu. Ina alcohol 4.5
Tatu 🤣 zinakupeleka HIGH
Mkuu konyagi ladha yake inaangulia kwenye matunda kama yapi? Ile feelingMimi mavitu machungu hayapitagi kooni Mimi na mix na ukwaju au TONIC WATER MOSTLY..
HAPA NA MALIZIA MEET THEN NIENDE ZANGU KUPATA KONYAGIIII NDOGO MOJA THEN NIENDE ZANGU NYUMBANII KUJUMUIKA NA FAMILIA.
Bia au pombe kali?Pombe inaongeza ujasiri. Mimi nikigonga chupa zangu kadhaa za mnazi, ninaongea Kingereza tu.
Pombe kali hutumii?Karibu mkuu!
Konyagi ndo kinywaji changu rasmi hii ni ya mr nasuuza tu koo 😄Pombe kali hutumii?
Akili ndogo🚮Wamelogwa na wachawi
Akili ndogo😂Uzi wa kiwaki sana🚮🚮
Sehemu nyingi 3500 mpaka 4500zinauzwa shngp maake mm ni Heineken au safari, em
Aaaah km sukarii hapana boss,Sehemu nyingi 3500 mpaka 4500
NB. Zina sukari ni tamu kama spirait
😁😃 tutakusimulia mpaka lini kanunue jumla 3500 kwenye bar/ pub 5000Mkuu konyagi ladha yake inaangulia kwenye matunda kama yapi? Ile feeling
Tupo pamoja tunakusoma nikiwa hapa kwa azizi Ally kuelekea mtonganiPombe Ina faida sana ukiitumia vizuri
Pombe inakuwezesha kutoka kwenye frequency ya chini kukupeleka frequency ya juu hii Ina faida yake, wachache watanielewa
Ipo vizuri ukipiga ya baridii ijaribu one day HUTO JUTIAAaaah km sukarii hapana boss,
Flying fish…🙄Bia nazo penda Smirnoff black ice, flying fish...
Hizi sipendezwi maana zinanukisha harufu safari lager, caste lager, balimi, Serengeti lager aiseeee sizipendii kabisa..
Labda sminorff vodka..Smirnoff ni za kiume kumbe 🤔