Kwanini watu wanaheshimu sana cheti cha form four?

Hata baadhi ya kampuni pia wanaangalia matokeo ya form 4 kama kama ey, kpmg wanataka 1 au 2 na A au B ya english na hesabu ukiwa huna imekula kwako
 
Kwanini hapa Tanzania watu wanaheshimu sana cheti cha form four yaani ikiwa hata kama una GPA ya tano ila form four ukiwa na four unachukuliwa poa.?

Hii inasababishwa na nini mfano yule Mkuu wa Nchi ya Matiyaski Ana masters Ila watu wanambeza Sana wanasema Elimu yake ni fake kisa tu alipata Four ya mwishoni .
Usiwe mjinga wa akili,four ya miaka ya nyuma,usilinganishe na ya sasa.Ukisika mtu kapata four miaka 1990 kurudi nyuma ni tofauti na sasa,elimu ya miaka hiyo,ilikuwa elimu hasa,ndio ukaona hata Mzee Rashid Mfaume Kawawa,alisoma mpaka darasa la Saba,lakini aliwahi kuwa kiongozi wa Tanganyika kwa nafasi za juu kabisa.Na nafasi hizo alipendekezwa na mwalimu Nyerere.Na alishika nafasi ya juu,kabla ya Mwalimu
 
Elimu ya form four hasa ya 2010 kurudi nyuma ndio Elimu hasa, ndio inaonesha uwezo halisi wa mtu. Huku kwingine kuna mambo mengi sana ya uongo na ubabaishaji.

Hata mimi kama form four hujafaulu kwa division 1 na 2 hata uwe na GPA ya 5 nakuona useless tuu bora ni mchague mwenye division 1 au 2 form four na mwenye GPA ya 3.
 
Mtu apate G.P.A ya 5 umuone useless, umewahi kuwaona wangapi kwenye maisha yako.
 
Ndio wewe ni useless kama ulifeli form four, unaweza kupata kwa rushwa ya fedha, ngono nakadhalika. Kwani wewe huyaoni au hujafika elimu ya juu
 
Hujajibu swali umewahi kuwaona wangapi wenye G.P.A ya 5 au unafurahisha baraza
 
Hiyo Rushwa unampa nani ma- lecturer wote kwenye kila kozi kila semester au unawapa ma-tutorial kwenye kila seminar au unatoa kwa wasimamizi na wasahihishaji wa tests na Ue au unafanyaje ili upate G.P.A ya 5 kwa rushwa , mimi ninachoona huna G.P.A kubwa na hicho kitu kinakuumiza, ushauri jikubali.
 
Wapo si lazima niwaone japo ni very few sana. Na nimechagua hiyo kuwakilisha GPA nyingine zote za juu ilihali form four ni failure.
 
Na wewe ni form four failure four ya 30 umesoma kwa kuunga unga ndio maana unatetea. Elimu za vyuo vikuu zinajulikana Wale wanaofanya directorate of Academic Syndicate mwishoni wanaweza kutemper na matokeo inategemea wewe ni mtoto wa kizito kiasi gani au unafedha kiwango gani. Usitake kudhani hatujui mambo yalivyo.
 
Huyo achana naye, ndo indicator mojawapo ya kufail form 4 halafu ukapasua kwa madoido huko juu.Haiwezekani asikuelewe kwa jambo dogo kama hilo, akili yake haielewi kuwa unaongea kwa lugha ya picha kutuma ujumbe wako, anachukua tafsiri ya neno kwa neno
 
Wanatemper Kiaje wakati matokeo Kila mwisho wa mwaka yanaenda TCU na HESLB?
 
Ukienda hospitali ukakuta daktari wazuri wa sura hasa wenye makalio makubwa,kama unajitambua na unaweza kuwakwepa wasikupe huduma,fanya hivyo.Hudumiwa na wanaume wako real sana kiuwezo,ila hao niliokutahadharisha,wengi didrii au diploma zao ni za CHUPI sana.Wanatakwa sana,muda wa kukonsetreiti kwenye masomo wanaukosa,ila muda wa loji na kwenye laivu bendi wanao.Wengi wao wako bize sana vyuoni.
 
Na wewe ni form four failure four ya 30 umesoma kwa kuunga unga ndio maana unatetea. Elimu za vyuo vikuu zinajulikana Wale wanaofanya directorate of Academic Syndicate mwishoni wanaweza kutemper na matokeo inategemea wewe ni mtoto wa kizito kiasi gani au unafedha kiwango gani. Usitake kudhani hatujui mambo yalivyo.
Kila semester ina mtihani wake ambao ni jumla ya matokeo ya vitu mbalimbali una- temper nini sasa
 
Huyo achana naye, ndo indicator mojawapo ya kufail form 4 halafu ukapasua kwa madoido huko juu.Haiwezekani asikuelewe kwa jambo dogo kama hilo, akili yake haielewi kuwa unaongea kwa lugha ya picha kutuma ujumbe wako, anachukua tafsiri ya neno kwa neno
Una G.P.A ya ngapi?
 
Back
Top Bottom