Kwanini watu wanafunga NDOA!??

Iza Bazazi ana hoja mbili tatu, hebu endelea:
  1. Bazazi ni Mkristo na Biblia inamuambia kuwa hakuna haki ya kuachana ila kwa sababu ya Uasherati.
  2. Kwavile Biblia anayoiamini imempa ruhusa hiyo angekuwa yeye angepiga chini fasta, lakini kwa kuwa Bazazi sio Iza basi usikilize moyo wako uamue haraka kabla hayajaharibika zaidi. Kama hakuna mtoto kwa uhakika piga chini fasta na ukirudi nyuma uwe kama mke wa Lutu.
  3. Watu wanaoa kwasababu nyingi lakini za muhimu ni UVIVU wa kutongoza na kupenda vya DEZO. Kwa sababu hizo Bazazi anakushauri njia nzuri ya mahusiano ni "HIT & RUN" ndio lugha wanayoielewa hawa viumbe wanaokojoa kwa kuchuchumaa na hivyo kushindwa kukojoa ktk vyoo vya kukokolea vya Nyamaume.
  4. Fikiri sana na nje ya mtazamo wako na amua kiume. Lakini kumbuka hapo nje kuna kitu kinakusubiri kinaitwa UKIMWI.


Naam Bazazi ni Bazazi!

Tabia za watu hazihusiani na maumbile yao. So be careful with such irritating conclusions! Isitoshe je wanaume ndio wasafi? Can you prove this? Cheating ni tatizo la wote. Tena nadhani wanaume ndio wanastahili medali ya dhahabu katika hili. Kwa hiyo tusiongelee suala hili kama vile ni la kijinsia, bali la kimaadili linalowahusu wote katika mahusiano.
 
Last edited by a moderator:
Tabia za watu hazihusiani na maumbile yao. So be careful with such irritating conclusions! Isitoshe je wanaume ndio wasafi? Can you prove this? Cheating ni tatizo la wote. Tena nadhani wanaume ndio wanastahili medali ya dhahabu katika hili. Kwa hiyo tusiongelee suala hili kama vile ni la kijinsia, bali la kimaadili linalowahusu wote katika mahusiano.

Pole sana CORAL kwani inaonekana nimekukwaza sana. Lakini ulitegemea niseme nini ikiwa mke wa mtu analazimisha kuwa na mahusiano na nyamaume nyingine? Ni kweli cheating ni kwa wote, lakini kumbuka mimi ni NYAMAUME ulitaka nikutete? I cheat in a very sophisticated means and methods.
CORAL Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
kujibu swali lako,tunaoa ili kuishi maisha ambayo yatampendeza Mungu,lakini wanadamu tunayachakachua maisha ya ndoa kwa tamaa zetu wenyewe na kazi ya mwovu yule shetani
 
Duh mkuu nilipomaliza kusoma hii story kwa mala ya kwanza nimehisi wivu kwa my wife wangu. mh kumbe ndio inakuwa hivi. pole sana kaka
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Mmh...!
Kumbe na wanaume huwa mnatendwa kwenye ndoa?
Mungu akuongoze ukafanya maamuzi yenye hekima
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Lakini ulitegemea niseme nini ikiwa mke wa mtu analazimisha kuwa na mahusiano na nyamaume nyingine?!

Mkuu,huyo haelewi position mtu anayokuwa nayo anapofanyiwa kitendo cha hivyo na mtu aliemtunuku nafsi yake..U can do the unthinkable lkn namshukuru Mungu I took it maturely and progressing with my life for good..No string attached
 
dah!!japo sijaingia noan yet,bt dah ths is ril bad,pole sana.i thnk people getting married cos ni sheria ya kila dini hapa kwa dunia,cos isingekua ivo watu tungeishi tu kisela.pia kwa upande mwingine ni heshima ukioa/kuolewa.
:flypig::flypig:
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Ndugu Iza,
Kwanza pole sana kwa hayo yaliyokusibu. Ndo maana majirani zangu akina Bishanga wanatumia neno zito sana eti "bishanga abashaija"! Pili, sina hakika kama ukipewa jibu la swali lako utaelewa. Kwa hiyo, sitajaribu kukujibu na samahani kama nitakuwa nimefanya kinyume na matarajio yako.
Tatu, nakuomba ukae chini na kutafakari upya dira ya maisha yako kwani hadi sasa wewe hauko kwenye ndoa!
 
  • Thanks
Reactions: Iza
nyingi zimekuwa na matatizo sana kwa kipindi hiki kifupi muda unafika unajiuliza kwanini MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA ana ya ruhusu haya kutokea, chini ya nchi ambapo ni mahali pake kwa kuwekea miguu nimesoma karibu kila thread zilizotumwa na wakuu hapo juu moja wanawake wengi waliyaondoa magano yao mapema katika ukuaji wao, na hiyo ikawa ni tatizo kati yao na MUNGU wao kwani MUUMBA aliweka nadhili na mwanaume na kwa maana umbaji wake ni katika mfano wake, mume ni kichwa cha mkewe na mke nilazima atawliwe na mume wake kwa kuepuka dhinaa wakorinto wa kwanza mlango wa 7 akaagizwa kuwahasa wanadamu kuepuka dhinaa ni bora kila mtu awe na mke wake pia na mke awe na mume wake makosa makubwa sana yanafanyika kwa sasa kwakua huyo mkeo kaonesha mazingira ya wazi kabisa kisaikolojia tuu ni mzigo na siii tunda jema, na kwa kuwa na ndoa ieshimiwe na watu wote na malazi yawe safi ili mpate kutimiza haja iliyokubaliwa na mungu yani tendo takatifu la ndoa basi mwisho kaa chini na mkeo jaribu kuyamaliza kama naye mwelekeo wake ni zilo ingia katika maombi maana mwanamke ni rahisi kuingiwa na pepo la ngono kutokana na maumbile yao kuwa dhaifu mwisho tuombeane ndoa nyingi sii salaama sana nachokiumia ni UKIMWI UKIMWI UKIMWI unatumaliza naumia sana watoto kubaki yatima kisa Ukimwi MUNGU kama inakupedeza basi pale mapenzi yako yanakostahili kutimizwa yatimizwe ili nafsi zetu zikapumzike salama pahala patakatifu. chukua muda kutoa maamuzi yenye hekima tumia maarifa yako yote busara ni muhimu.
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Ndugu Iza,
Kwanza pole sana kwa hayo yaliyokusibu. Ndo maana majirani zangu akina Bishanga wanatumia neno zito sana eti "bishanga abashaija"! Pili, sina hakika kama ukipewa jibu la swali lako utaelewa. Kwa hiyo, sitajaribu kukujibu na samahani kama nitakuwa nimefanya kinyume na matarajio yako.
Tatu, nakuomba ukae chini na kutafakari upya dira ya maisha yako kwani hadi sasa wewe hauko kwenye ndoa!

Kaka mkubwa pamoja sana! Tafanyia kazi ushauri wako
 
Usitishike sana,changamoto katika mahusiano ni nyingi sana japo nyingine zinahitaji moyo wa chuma kuzikabili. Muombe sana Mungu akutangulie

ok kiongozi nimekupata!dah ila kila nikitafakari inauma ikitokea kweli sijui itakuwaje!pole sana kaka jipe moyo utayashinda!
 
Aise kama mi klwei pole sana. Haya mambo yanauma sana maana yamezoeleka kuwa ni wanaume zaidi wanafanya hivyo. Ila ndoa yenu imeshaingia mchango na omba neema ya Mungu awasaidie kuondoa mchanga huo. And when a woman decides to cheat, he does it fully !!! Kichwa miguu na kiwiliwili chote. Usikate tamaa, ila pia wote wenye ndoa tunastahili kulinda ndoa zetu. Na wewe je tangu ulipomuao na akasafiri muda wote huo hukuwahi kuwa na affair nje ya ndoa? Kama ndivyo basi meza hilo kaa la moto ila kama ulivumilia kwa mwanaume basi unastahili sifa.
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Watu wanamtafunia mpaka mfalme Mswati sembuse wewe!? na wewe angaza macho tafuta mnyonge wako gonga. Mwanamke ni mazoea tu lakini wako mabinti bomba kweli kweli tena wanaume tulitakiwa idadi ya chini kila Mwanaume amiliki warembo watatu maana wako wengi eti?
 
mwajei umemgongea LIKE mleta mada je nini kinachokufurahisha mpaka umemgongea LIKE?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Iza
Aisee pole sana Iza, je anaonesha kujutia alichokifanya? Kama hajutii; mimi sioni sababu ya kuendelea kuishi na mtu asiyekupenda. Badala ya kuendelea kupoteza muda ni bora muachane ili uje uanze upya!
kaunga vyovyote iwavyo huyo hafai sana sana atamkondesha dhambi ikikomaa huzaa mauti,sasa ayasubiri mauti?
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Back
Top Bottom