Kwanini watu wanafunga NDOA!??

pole sana kaka, hakujua thamani ya uaminifu na kumwamini ulioweka kwake. nasikitika kuwa atakuja kujutia ila itakuwa kama kuanguka kwa tawi mtini, huwezi rudisha the early trust uliyokuwa nayo kwake. liweke wazi kwa ndugu zenu na ikiwezekana anza maisha upya. Mwombe Mungu akupe ujasiri na moyo wa kusahau ili uweze kuwaamini wanawake wengine. sio wote wana tabia hizo
 
Pole, ndo mambo ya ndo hayo, ila inaoneka kuna kitu, hata kama umeamua kucheat huwezi kuacha mambo yako hadharani hadi mwenzi wako ayaone. Na ninavyojua, kesha danganywa huyo, anatafuta sababu muachane, wewe muache aende zake lkn nakuhakikishia ipo siku isiyo na ina atakutafuta tena akiwa anatembelea magoti but atakuwa amechelewa sana
 
Na wewe je tangu ulipomuao na akasafiri muda wote huo hukuwahi kuwa na affair nje ya ndoa? Kama ndivyo basi meza hilo kaa la moto ila kama ulivumilia kwa mwanaume basi unastahili sifa.

Mkuu sikuwahi kuwa na affair yoyote nje kwa kipindi chochote kile..
 
Back
Top Bottom