Kwanini watu waliooa hudhani wanapata tendo la ndoa bure kuliko ambao hawajaoa?

Ni kweli, nilishawahi kumsikia mtu anamwambia mumewe 'hivi unapata wapi hata nguvu ya kusimamisha hata hatujui jioni tunakula nini'
 
Unaona sifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Dunia inajazwa kwenye ndoa tu? Umetumia akili kweli kuandika haya? Kwamba familia haijengwi bila ndoa?

Ni jambo gani ambalo nikiwa mwenyewe siwezi kufanya hadi awepo mwanamke?

Naweza kua mtoto ila nina akili, sio wewe mkubwa halafu huna akili.

Wazungu husema with age comes wisdom but sometimes age comes alone, ndio haya.
 
Wakati WEWE ambaye HUJAOA unahangaika na KUTUMA NAULI ,,,MARA KUPIGA SIMU,,,ili MWANAMKE AJE KWAKO,,,,kwa ALIYEOA HANA TAABU,,KAZI YAKE NI KUFUNUA DERA ,,,maana MKE WA MTU HALALI NA CHUPI..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bado sijaoa.

Una kahoja kidogo.

Lakini umuhimu wa ndoa upo pale pale mzee.
 
Umetafuta msaada wa kisaikolojia kwa matatizo yako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama lengo ni nyama na maziwa tu, napata kila nikihitaji hivyo sina haja ya kufuga.

Kufuga kuna gharama za ziada, ikiwemo usafi na harufu mbaya ya β€˜mbolea’.... na kulinda ng’ombe wako asiende kula shamba la jirani.
 
Kwa uandishi huu nmegundua bado ni mtoto sana kua uyaone utakuja kupata utofauti na unatakiwa ujue kuwa kuoa ni zaidi ya tendo..

Akili yako inawaza tendo tu lakn siku ukija kuoa utakuja kujua kuwa ndoa ni zaidi ya tendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeiga tabia ya babiyo
 
Nyapu za bure zipo nakumbuka niliwahi kumgegeda dada mmoja kimasihara kisa tu anapenda sauti yangu nikiongea

GunFire
 
Tatizo kama hujaowa inabidi utembee na mafuta yako maana hujui huyo unaenda kumgonga ni single au mke wa mtu so inabidi gharama iongezeke ya kununua KY kwa usalama wako.
 
Usifananishe papuchi unayo ipata kwenye ndoa na mambo ya kijinga.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna jamaa tulipanda nae bus, Safari ilipoanzaa akawa anashangaa kweli miti inarudi nyuma kila mara anatoa mshangao kwa sauti kubwa ,abiria tukawa tunamuona mshamba,mweu na mjinga asiyejua maana

Kuna jamaa mmoja alikuwa kaongozana nae alikuwa yupo kimya mda wote, ndipo alipotuambia samahani jamani ,huyu ndugu yangu tokea amezaliwa alikuwa kipofu Leo ndio tunatoka hospital amepona upofu ,hivyo hii ndio mara yake ya kwanza kuona vitu nje ya gari wakati lipo kwenye mwendo

Wote tulijiona wajinga kwa kuanza kujaji bila kujua

Angalizo: inawezekana mtoa mada bado ni kipofu( aishakum si matusi) kutokana na umri wake ,hivyo tumuache Mpaka akue upofu umtoke ndio aje atuletee habari zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi moja inagharimu karibia 100k
Usafiri
Chakula
Vinywaji,
Lodge,
Pesa ya Sabuni/nauli

sasa hapo mkikaa kuanzia lets Saa nne asubuhi na sisi tunaotumia Vilevi ushinde nae hadi kesho asubuhi 150k inakatika unaangalia.

ila kama unapiga katoto ka shule Jirani na nyumbani kwenu geto unafanya kuomba, kamekuka kwao hakalali hapo una nafuu. Kwa wanawake tunakutana nao maofisini lazima Posho uliyopokea ijumaa jioni iishe jmosi saa4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…