Kwanini watu waitwe kwa awamu kazini?

Kwanini watu waitwe kwa awamu kazini?

njiwa_poli

Member
Joined
May 25, 2023
Posts
7
Reaction score
11
Habarini ndugu!

Samahani naomba mnisaidie; mdogo angu ameajiriwa na tasisi fulani ya serikali huko Shinyanga, ila kinachonishangaza kwenye kada zingine wameishaitwa kazini ila kwenye kada yao waliajiriwa wawili yeye na mwenzake wenyewe mpaka saizi hawajaitwa, ni kama wiki tatu zimepita toka wenzao waitwe. Ila wenyewe toka wapeleke barua za ajira walisema wataitwa mpka saizi bado.

Naomba niulize hivi shida itakuwa nini? Na je utaratibu wa kuitwa kwa awamu huwa upo? Maana wote na wenzao wapo kwenye tangazo moja la ajira.
 
Ni utaratibu wa kawaida,inategemea upo kada Gani,na muajiri anataka Nini,na wewe muajiriwa upo tayari kuanza kazi lini.
Taasisi nyingi Zina huo utaratibu
 
Ni utaratibu wa kawaida,inategemea upo kada Gani,na muajiri anataka Nini,na wewe muajiriwa upo tayari kuanza kazi lini.
Taasisi nyingi Zina huo utaratibu
Okay sawa,, ngoja tusubiri,, maana mi nikawa namshauli kuwa aende tu watajuanaga hukohuko na mwajiri wake.

Ngoja tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom