Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,265
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wewe endelea tu kupima pima ipo siku hicho unacho kitafuta utaambiwa unacho harafu utaona shughuli yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wewe endelea tu kupima pima ipo siku hicho unacho kitafuta utaambiwa unacho harafu utaona shughuli yake.
Hiv unafikiri kukubali ni jambo rahisi hivyo mkuu sikilizia tu kwa wengine usiombe yakukute unaweza kufa kabla haujakuua si bora uishi muda mfupi kwa aman kuliko stressUkijia na ukakubali utaishi maisha marefu kuliko yule asiyejijua kwani ataishi mda mfupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasaBado kuna watu wanaamini ktk HIV/AIDS miaka hii?Binafsi kwangu huo ni usanii wa vipimo tu siku hiyo kipimo kimekaa vipi.Siwezi na sijikupima kitu kinachoitwa HIV/AIDS ni usanii mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
nilipima na dada mmoja wa kitaa baada ya kumuahidi cm yangu moja kati ya mbili ninazotumia,akakubali,alichukuliwa vipimo akasepa hom mm nikawa nayasubiri majibu,majibu yakatoka yy yupo Positive mm negative sasa akawa ananipgia cm nimpe majibu ,yan nikawa nashindwa la kumjibu,ilithihilisha wazi kuwa hakuwa anajua afya yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimeza zile dawa za wale walio katika hatari ya kupata maambukizi ,ctasau mileleeHospital za huku tuliko unapopimwa kipimo unaekewa mbele yako uone majibu yako lakini kabla ya kukupima wanakuwa na shit fulani hivi lenye michoro kamili ya vipimo na kukueleza ukiona kitu hiki unaona na ukiona hivi hauna.
Hahhaaaaa nilipokuwa ninakwenda kupima kutoka nilipokuwa hadi hospital nikuomba dua tu humo njiani.
Hhhahahahha Mungu tusaidie waja wako na utulinde.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata bila kujua utapimwa,yani ni uonevu tu,unapimwa hata bila kujua,hata hizi ajira za cku iz wanawapma watu yani ni balaaNa sasa hivi ni mwendo wa kupimwa kila kitu ukienda hospital nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sawa, mm ndo msimamo wangu vinginevyo ningekuwa positive zamani sana maana enzi za ujana chipukizi sikujali huyu Malaya wale wanajiuza au huyu geti kali nimepiga sana lakn hakuna siku nimeacha kutumia kondomu ,,,lakn ktk hao kuna mademu walinilazimisha nipige kavu eti kwa kigezo kuwa kondomu zinawaumiza mm nilicho Fanya ni kuvaa nguo na kusepa ,,yaani mwanamke asiye mke wangu akiniambia mambo ya kavu sindindishi tena!Kinadharia hilo linawezekana but practically ni next to impossible