Kwanini watu ni woga wa kupima UKIMWI?

Kwanini watu ni woga wa kupima UKIMWI?

nilipima na dada mmoja wa kitaa baada ya kumuahidi cm yangu moja kati ya mbili ninazotumia,akakubali,alichukuliwa vipimo akasepa hom mm nikawa nayasubiri majibu,majibu yakatoka yy yupo Positive mm negative sasa akawa ananipgia cm nimpe majibu ,yan nikawa nashindwa la kumjibu,ilithihilisha wazi kuwa hakuwa anajua afya yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna daktari anayetoa majibu ya vipimo kwa mtu asiyekuwa muhusika wa vipimo vilivyochukuliwa?

Ni kinyume na taratibu za kitabibu
 
Kwa mara ya kwanza kbs nimelazimika kufanya hivyo vipimo wakati nasubiri majibu nilibanwa na tumbo la kuhara aiseee, ukizingatia nilikuwa nimetoka kutembelea na kusalimia wagonjwa wodi la waathirika sio mchezo
 
Nilishapima na kukimbia majibu mara 10. Mara ya 11 alinipima doctor rafiki yangu akanifungia mlango kwa nje aliporejea kuniletea majibu akakuta karibu nakata roho [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Jasho hadi kwenye kucha.

Hadi sasa nimezoea kupima kila baada ya miezi 3 lakini bado roho huwa naiacha getini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
It seems unagongana sana Mkuu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kazi nzito .....me nimepima Mara saba mpk sasa tangu nipate akili.....lakini nimeapa sitokwenda kupima tena ukimwi labda nishike ujauzito nianze clinic na nitachelewa kweli kweli nahisi watakuja na rb kunipeleka hospitali .....mambo ya kukaa unasubiri majibu roho inaeleaelea pressure inasoma 100000 kwa kweli hapana....unaweza kuzimia kabla hujapewa majibu......kwakweli ikigundulika dawa ntapima vinginevyo hahahahahaha sipimi teeeeeeeeenaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza kbs nimelazimika kufanya hivyo vipimo wakati nasubiri majibu nilibanwa na tumbo la kuhara aiseee, ukizingatia nilikuwa nimetoka kutembelea na kusalimia wagonjwa wodi la waathirika sio mchezo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishapima na kukimbia majibu mara 10. Mara ya 11 alinipima doctor rafiki yangu akanifungia mlango kwa nje aliporejea kuniletea majibu akakuta karibu nakata roho [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Jasho hadi kwenye kucha.

Hadi sasa nimezoea kupima kila baada ya miezi 3 lakini bado roho huwa naiacha getini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unapimapima unatafuta nn haswa?
 
Uo mchezo wakupima pima HIV Utawagharimu siku moja. Bora Mpime Malaria 😂😃
 
Nilishapima na kukimbia majibu mara 10. Mara ya 11 alinipima doctor rafiki yangu akanifungia mlango kwa nje aliporejea kuniletea majibu akakuta karibu nakata roho [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Jasho hadi kwenye kucha.

Hadi sasa nimezoea kupima kila baada ya miezi 3 lakini bado roho huwa naiacha getini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Niliwahi kuyaacha zaidi ya Mara 3 nikaona huu upuuzi kila Mara kutoa damu Siku nyinine nilijikaza Ila nilitoka pale kama vile nilikuwa nimebeba gunia begani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom