Kwanini watu ni woga wa kupima UKIMWI?

Kwanini watu ni woga wa kupima UKIMWI?

Hata kama kungekuwa na App ya kupima ukimwi kwenye Android. Watu wangei block hata wasiione kabisa.😛😛
 
Kazi nzito .....me nimepima Mara saba mpk sasa tangu nipate akili.....lakini nimeapa sitokwenda kupima tena ukimwi labda nishike ujauzito nianze clinic na nitachelewa kweli kweli nahisi watakuja na rb kunipeleka hospitali .....mambo ya kukaa unasubiri majibu roho inaeleaelea pressure inasoma 100000 kwa kweli hapana....unaweza kuzimia kabla hujapewa majibu......kwakweli ikigundulika dawa ntapima vinginevyo hahahahahaha sipimi teeeeeeeeenaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kazi ngumu sana kusubiria majibu yale kuliko kitu chochote. Yaani masikio mimi huwa yanaziba akili inaruka nywele zinasimama nakuwa kama nataka kutokwa na moyo kupitia mgongoni 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅. Yataka moyo ila ni vizuri tu kupima tusikatishane tamaa kwa kweli wala kuogopeshana lakini inaogopesha sana
 
Ni kazi ngumu sana kusubiria majibu yale kuliko kitu chochote. Yaani masikio mimi huwa yanaziba akili inaruka nywele zinasimama nakuwa kama nataka kutokwa na moyo kupitia mgongoni [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Yataka moyo ila ni vizuri tu kupima tusikatishane tamaa kwa kweli wala kuogopeshana lakini inaogopesha sana
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] inatishaa ...huwa natokwa na jasho la ghafla mwili mzimaaaa....moyo unadunda mpaka aliyekaribu yako anasikia....dokta ananiulizaga vipi mbona upo hivyo najibu tu aaah hapana hahahahhahahahah mweeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] inatishaa ...huwa natokwa na jasho la ghafla mwili mzimaaaa....moyo unadunda mpaka aliyekaribu yako anasikia....dokta ananiulizaga vipi mbona upo hivyo najibu tu aaah hapana hahahahhahahahah mweeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna siku nilitoka nduki hadi napita getini na card ya parking miaka ile hospital fulani walikuwa wanatoa card za parking basi mlinzi ananifukuzia nilihisi ananikimbizia majibu dah! Siwezi kusahau mimi 😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Kuna siku nilitoka nduki hadi napita getini na card ya parking miaka ile hospital fulani walikuwa wanatoa card za parking basi mlinzi ananifukuzia nilihisi ananikimbizia majibu dah! Siwezi kusahau mimi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahaha hahahahaha doooh hii kaliiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilipima na dada mmoja wa kitaa baada ya kumuahidi cm yangu moja kati ya mbili ninazotumia,akakubali,alichukuliwa vipimo akasepa hom mm nikawa nayasubiri majibu,majibu yakatoka yy yupo Positive mm negative sasa akawa ananipgia cm nimpe majibu ,yan nikawa nashindwa la kumjibu,ilithihilisha wazi kuwa hakuwa anajua afya yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu masuala ya kitoto kutuletea watu wazima ni upumbavu,kawadanganye wenzio
 
Ni kazi ngumu sana kusubiria majibu yale kuliko kitu chochote. Yaani masikio mimi huwa yanaziba akili inaruka nywele zinasimama nakuwa kama nataka kutokwa na moyo kupitia mgongoni [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Yataka moyo ila ni vizuri tu kupima tusikatishane tamaa kwa kweli wala kuogopeshana lakini inaogopesha sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha uongo yani majibu ya mtu mwingine upewe wewe
unapopima na mtu unaulizwa kama mtapokea majibu pamoja,mukikubali inamaana yake na yako yataanikwa pamoja,na kunauhuru wa kuchukua majibu ya mtu kulingana na makubaliano ya wahusika.mfano mzazi na mtoto,mme na mke,mtu na mchumba wake nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado kuna watu wanaamini ktk HIV/AIDS miaka hii?Binafsi kwangu huo ni usanii wa vipimo tu siku hiyo kipimo kimekaa vipi.Siwezi na sijikupima kitu kinachoitwa HIV/AIDS ni usanii mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom