Zekidon
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,903
- 569
Yaani kila anayekwenda Dar lazima apige pamba.
Raba kali, jeans kali, kadet, suti, tai, simu kuubwa.
Kwa wadada lazima aseti nywele mtindo very current and bei pia, lazima ajilipue na ma make ups ya kutosha.
Dar kuna nini ambacho humfanya kila mtu avae vizuri kila anapopata safari ya kwenda.