Kwanini watu hula bisi (popcorn) sehemu za sinema?

Trimmer

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
2,692
Reaction score
4,619
Waungwana nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili na leo nimeona bora niwashirikishe na great thinkers wa JF nipate kuelewa zaidi mimi na wengine hasa wafata mkumbo,,
Imekuwa ni kawaida sana kila ukienda katika kumbi za sinema kukuta bisi (pop cone) ndio kama official food huko pamoja na soda,,
Swali ninalojiuliza ni kwanini hakuna chakula kingine tofauti kama nyama na samaki,,? Au kinywaji tofauti na soda kama bia au pombe nyingine kali,,?
Kwanini pop cone na cinema,,?
 
Soda ni kinywaji rafiki kisichokuletea shida...

Popcorn ni kitafunwa chepesi, kisicholeta shida kama ya harufu, mafuta ya kuchafua seats, na hata ukiangusha ushafishaji wake rahisi...

Ni vitu ambavyo havitakera wengine...

Cc: mahondaw
 
Haujazuiwa hata kwenda na ugali dagaa wako na tembele, ili mradi usivuruge utaratibu...

Popcorn kwa kuwa ni simple tu kuzitafuna
 
Waungwana nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili na leo nimeona bora niwashirikishe na great thinkers wa JF nipate kuelewa zaidi mimi na wengine hasa wafata mkumbo,,
Imekuwa ni kawaida sana kila ukienda katika kumbi za sinema kukuta bisi (pop cone) ndio kama official food huko pamoja na soda,,
Swali ninalojiuliza ni kwanini hakuna chakula kingine tofauti kama nyama na samaki,,? Au kinywaji tofauti na soda kama bia au pombe nyingine kali,,?
Kwanini pop cone na cinema,,?
Mkuu Pombe kali na Bia si unajua madhara yake zikizidi kipimo aisee...ndio maana soft drinks zinakuwa recommended
 
Waungwana nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili na leo nimeona bora niwashirikishe na great thinkers wa JF nipate kuelewa zaidi mimi na wengine hasa wafata mkumbo,,
Imekuwa ni kawaida sana kila ukienda katika kumbi za sinema kukuta bisi (pop cone) ndio kama official food huko pamoja na soda,,
Swali ninalojiuliza ni kwanini hakuna chakula kingine tofauti kama nyama na samaki,,? Au kinywaji tofauti na soda kama bia au pombe nyingine kali,,?
Kwanini pop cone na cinema,,?
Si wanajua wanadanganywa!! we ushaona Popcorn a.k.a. bumunda ina ukweli wowote? coz imejaa jaa tu kumbe hewa tupu.
 
Next time nenda na togwaa au mbege na mabumunda kama popcorn na soft drinks uziwezi
 
simple kubeba pia hutia hamasa ukitafuna huku una watch movie ila usikaee karibu na watu wenye mizuka na muku huishia kuzirusha na kumwaga eti movie imemwingia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom