Kwanini watu hawasemi asante?

Kwanini watu hawasemi asante?

Yaani,unakuta umejipinda uwanunulie zawadi,yeye anaichukulia poa,hata asante inakuwa ngumu kuitoa,alafu mama mzazi ndo anasema asante ukisitisha kumpa maneno,jamani yataka moyo kuishi na watu wasiojua kushukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati yeye ndiye anatakiwa kushukuru sana kuliko hata mzazi lakini ni kinyume chake unapeleka zawadi simu anapigiwa mtoto wao asante tumepata mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hawajafunzwa tabia njema na wazazi/walezi wao...hao ndo unakuta ukimpa kitu anapokea alafu kimya au anapokelea mkono wa kushoto...nilivokuwa mdogo mama alinikanya nikiwa napewa/natoa kitu nitumie mkono wa kulia ,kama napewa kitu nisisahau kusema asante/nashukuru, alafu nisipende kunung'unika....na hatimaye yale mafunzo yamekuwa msaada mkubwa kwangu, mpaka leo siwezi acha kushukuru...neno ASANTE/AKHSANTE lina nguvu kubwa huwezi amini.
 
Wakuu,

Kuna ndugu yangu yupo mkoa, Mara nyingi huwa ananiomba ela na ananililia shida kweli kweli na mimi huwa najitaidi kumtimizia.

Cha kushangaza kila nikimtumia pesa kwenye tigopesa huwa hasemi asante. Sasa mimi huwa najiuliza huyu ananichukuliaje, kwasababu huwa naangaika ili nimtumie kwa wakati lakini hajawai kushukuru.

Kwa kweli nimeapa simtumii pesa tena
Wakushukuriwa ni Mungu we unataka sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikutana na mzee mmoja kapinda, nikamuuliza uchochoro wa kuelekea nilikokuwa nataka kwenda, akanionesha. Nilivyoshukuru akaniambia: "kumbe ww mstaarabu, njia sahihi kuelekea unakokwenda ni hii, huko nilikokueleza mwanzo siko". Toka siku hiyo nikajifunza kushukuru, sasa nashukuru hata nikimaliza kupiga papuchi. 😛😛🙂
[emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,
Sasa mimi huwa najiuliza huyu ananichukuliaje, kwasababu huwa naangaika ili nimtumie kwa wakati lakini hajawai kushukuru. Kwa kweli nimeapa simtumii pesa tena


Ni utamaduni wetu, Waingereza wanasema. Thank you, I am sorry, Please hata kama hawakufanya kitu chochote kibaya kwako. They are polite. Sisi mtu akikwambia please, ogopa anataka kupigana. Different cultures.

Ni vizuri kabisa, usimpe pesa yoyote hadi siku moja ambapo atajifunza.
 
Sasa mkuu huyu wangu wa kipekee,hata mtoto wake hampigii[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app


Kuna mtu aliweka mabango ya ukaribisho mikoani humu JF
  • Mikoa mingine mabango yameandika "Karibu Mkoa wa X"
  • Lakini huko kunakolalamikiwa waliandika "Sasa unaingia Mkoa wa Y" implication yake ni kuwa kaa mkao wa tahadhari anytime things are not the same
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom