Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,557
- 21,512
Wakuu habarini,
Nilikuwa mahali fulani mara mjadala ukazuka juu ya watoto ambao wanazaliwa nje ya ndoa kufanikiwa kimaisha.
Mimi nikawaambia binafsi pia nimewaona watoto wa hivyo wengi tu wakiwa na maisha mazuri ila natamani nijue ni kwanini...
Mmoja kati ya waliokuwapo hapo akasema hata yeye pia amekuwa akiona watoto hao kutusua kimaisha kuliko walio ndani ya ndoa.
Mwingine akasema kuwa wale watoto hubeba baraka zote za mzaliwa wa kwanza ndio maana hubarikiwa.
Mjadala ulikuwa mpana sana...
Nimeona nililete kwenu nyie wanajamii maana najua kwenu hakushindukani kitu.
Nawasilisha