omosangora
Member
- Oct 29, 2017
- 53
- 26
Maombi hawayaelekezi kwa familia zao, wanamuombea mpendakuombewa na mpendasifa mkuu mr. Jaramogi Punda MiliaWanajamvi mm si mwenyeji sana humu japo huwa nasoma sana humu jamvini na kujifunza kutokana na mijadara mbalimbali inayotolewa humu ndani,Leo nimejitokeza kwenu kutaka msaada wa kiwazo kuna watumishi wa mungu wanaitwa wachungaji nimekuwa nikifatilia familia zao hususa watoto wao kwanini hawana maadili ili halo baba zao ni wachungaji wa kiroho? Naomba kuwasilisha tafadhali
Shetani anawawinda sana watumishi wa Mungu wakiwemo Mapandri, Maaskofu, Wachungaji n.k Hivyo tunpaswa kuwaombea sana. Shatani anaposhindwa kuwashughulikia hawa moja kwa moja anatafuta hatanamna ya kuwadhalilisha ikiwemo kuharibika kwa watoto n.k.Wanajamvi mm si mwenyeji sana humu japo huwa nasoma sana humu jamvini na kujifunza kutokana na mijadala mbalimbali inayotolewa humu ndani,
Leo nimejitokeza kwenu kutaka msaada wa kimawazo
Kuna watumishi wa Mungu wanaitwa wachungaji nimekuwa nikifuatilia familia zao hususani watoto wao kwanini hawana maadili ili hali baba zao ni wachungaji wa kiroho?
Naomba kuwasilisha tafadhali
Maelezo yako bila mifano iliyo hai kwangu naona kama porojo tuWanajamvi mm si mwenyeji sana humu japo huwa nasoma sana humu jamvini na kujifunza kutokana na mijadala mbalimbali inayotolewa humu ndani,
Leo nimejitokeza kwenu kutaka msaada wa kimawazo
Kuna watumishi wa Mungu wanaitwa wachungaji nimekuwa nikifuatilia familia zao hususani watoto wao kwanini hawana maadili ili hali baba zao ni wachungaji wa kiroho?
Naomba kuwasilisha tafadhali
Shetani akishindwa kukupiga moja kwa moja (mwili, nafsi na roho yako) hukupiga kupitia vinavyokuzunguka kama vile mke, watoto, mali, marafiki n.k Hivyo watumishi wengi wa Mungu shetani huwapata kirahisi zaidi kwa vita ya nje ikiwemo watoto wao. Wakati kwa asiye mtumishi anapigwa kirahisi zaidi yaani magonjwa n.k
We makengeza nini hujasoma mifano mingi humu iliyoandikwaMaelezo yako bila mifano iliyo hai kwangu naona kama porojo tu