Nini kinafanya watumishi wa Mungu waachane ktk mahusiano yao ya ndoa?

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Husika na kichwa cha habari,
Napenda tuzungumze kiroho zaidi na
Sitataja watumishi hapa majina.

Ila nataka tujadili kwa kila ambaye ameona au kusikia changamoto ambazo zinawapata hawa watumishi.

Wengine ni watumishi wazuri sana ila hawapo na waume au wake zao.

Wengine ni waimbaji wakubwa tu ila hawapo katika ndoa zao.

Na wengine wameamua kuolewa upya na wanaume wengine.

Tena ndoa zao zimekuwa zikivunjika vibaya sana tena na aibu juu.

Nimekuwa nikijiuliza sana, nini kinasababisha watu hawa waachane.

Kama ni neno la Mungu wanalijua vizuri sana, na wanafundisha vizuri.

Kama ni wa waimbaji, wanaimba vizuri sana na nyimbo zinatubariki.
 
Ndoa is complicated union, no actual formula. Watu wanawapa kazi zao umuhim kuliko wenza, matokeo mpasuko
 
Kuwaombea tu, ndoa ni taasisi yenye vita.
Mm sijui kilochovunja ndoa zao.
Lakin kwa ambao bado hawajaingia huko, msioe au kuolewa na utumishi, oleweni na mtu.
Kaa chin umjue huyo mtu kwanza , ukiweza kumfaham huyo mtu, ndio uolewe naye na ujihakikishie ni mtu ambaye Mungu amekupa.
Angalia aman ndan ya moyo wako.

Utumishi ni vazi tu, akilivua anabak mtu halisi, watu wakion mtu ana ombaaa, imbaa, hubirii, wanapenda hivyo vitu wanaingia kwa expectations kuwa atakuwa perfect, ni watu hao si malaika, wana hasira, wana umia pia.

Hizo zilizovunjika neema ya Mungu iwe juu yao
 
Husika na kichwa cha habari,
Napenda tuzungumze kiroho zaidi na
Sitataja watumishi hapa majina.

Ila nataka tujadili kwa kila ambaye ameona au kusikia changamoto ambazo zinawapata hawa watumishi.

Wengine ni watumishi wazuri sana ila hawapo na waume au wake zao.

Wengine ni waimbaji wakubwa tu ila hawapo katika ndoa zao.

Na wengine wameamua kuolewa upya na wanaume wengine.

Tena ndoa zao zimekuwa zikivunjika vibaya sana tena na aibu juu.

Nimekuwa nikijiuliza sana, nini kinasababisha watu hawa waachane.

Kama ni neno la Mungu wanalijua vizuri sana, na wanafundisha vizuri.

Kama ni wa waimbaji, wanaimba vizuri sana na nyimbo zinatubariki.
Hao watumishi wa Mungu ni wanadamu kama sisi wanamioyo, damu na nyama so maumivu ya mahusiano unayopitia wewe usie mtumishi wa Mungu na wao wanapitia cha msingi tusiwakejeli bali tuwaombe.
 
Back
Top Bottom