Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,601
- 6,723
Una Takwimu zozote juu ya ulichoandika?
Ngoja nimsaidie,
Instagram Tanzania MAU ni 2-3m
Twitter Tanzania MAU 294K and total Watanzania Twitter wako around 700,000 active users.
Una Takwimu zozote juu ya ulichoandika?
wewe kijana ni mpuuzi katika hii krne ya 21 je nnape nnauye, Tundu LissuPutin yupo Insta??????????? Rusia hawana access na mitandao yote ya kimagharibi....... Wengine uliowataja ni mule mule....
Mim na wew nani mwenye fikra za umaskini na hela???? Chill
Tatizo kubwa la vijana ndio hilo ubishi usiokuwa na Facts, nani kakuambia puttin hatumii insta?Putin yupo Insta??????????? Rusia hawana access na mitandao yote ya kimagharibi....... Wengine uliowataja ni mule mule....
Mim na wew nani mwenye fikra za umaskini na hela???? Chill
Bashite yuko twitter/instagram?
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Jahazi linapoanza kuzama hali huwa ya taharuki sana. Unaweza kushikilia hadi unyoya unaoelea.Kwa sababu ningeweka hizo alama (;".":?) wewe ungekosa cha kuchangia kwenye huu uzi.
Pambana na hali yako!!
Mkuu hapa ilipendeza zaidi uweke na uthibitisho.Tweter ni mwendo wa Fact na ku tweer na kula corner.. Walio jiunga Tweter ni watu wanaojielewa na wasomi HGT
Umempa za uso mkuu....huyo Ni jf bahati mbayaBado najiuliza umefikaje JF wakati hata kuandika 'Twitter' hauwezi
Correction:
1. 'Tweer' or ' Tweter - Twitter
2. Walio jiunga - Waliojiunga (ni neno moja)
3. Jams - James
4. Delisious - Delicious
Upeo wake mdogo mkuuMpumbavu sana Huyu kwa maana hio Michelle Obama, Barack Obama, Donald Trump, Vladmir Putin, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na wengine wengi wana akili kama za Delicious?? wewe una umaskini wa Fikra na wa Hela