likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,072
SASA MKUU KAMA UMEZOEA KUTANDIKA MKEKA, TWITTER HAPATOSHI.
Hii haihitaji kuwa na tume, watz wengi hasa vijana hupenda umbea, leo kiba na dai, leo dai na zari nk nk nk, na sehemu y kupata huo utumbo ni Twitter. Mara nyng Twitter ni sehemu ya current news na politics na international agendas, of which wengi hawapend kufuatiliaJe, tunaongea sana?
Je, tunapenda mapicha?
Je, tunapenda sana udaku na umbea?
Je, tuna akili ndogo na hatuwezi toa mawazo yetu katika character 140?
Hahahahaha! Htr sana wewe!!!!Bado najiuliza umefikaje JF wakati hata kuandika 'Twitter' hauwezi
Correction:
1. 'Tweer' or ' Tweter - Twitter
2. Walio jiunga - Waliojiunga (ni neno moja)
3. Jams - James
4. Delisious - Delicious
Mpumbavu sana Huyu kwa maana hio Michelle Obama, Barack Obama, Donald Trump, Vladmir Putin, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na wengine wengi wana akili kama za Delicious?? wewe una umaskini wa Fikra na wa HelaTweter ni mwendo wa Fact na ku tweer na kula corner.. Walio jiunga Tweter ni watu wanaojielewa na wasomi HGT
Wanawake walio jiunga Istagram akili zao ni kama za Wema Setepu
Na wanaume wenye a/c Instagram akili zao ni kama za Jams Delisious.... Watu disaini hii huwezi kuwakuta tweter...
Bashite yuko twitter/instagram?Una tabia ya kujifanya unayajuaaaa ila leo nakuambia tulia ujibadili na pia unaonyesha hujui mengi na hata faida zake ambazo ni nyingi..
Nimeona umesha saidiwa maneno.
Wee Jambazi! Naona kama umetukana watu kwamba wanafanyiwa kama hapo kwenye red.Tweter ni mwendo wa Fact na ku tweer na kula corner.. Walio jiunga Tweter ni watu wanaojielewa na wasomi HGT
Wanawake walio jiunga Istagram akili zao ni kama za Wema Setepu
Na wanaume wenye a/c Instagram akili zao ni kama za Jams Delisious.... Watu disaini hii huwezi kuwakuta tweter...
Wapo Ila Wanaendana Na Mazingira Husika ,Tweter ni mwendo wa Fact na ku tweer na kula corner.. Walio jiunga Tweter ni watu wanaojielewa na wasomi HGT
Wanawake walio jiunga Istagram akili zao ni kama za Wema Setepu
Na wanaume wenye a/c Instagram akili zao ni kama za Jams Delisious.... Watu disaini hii huwezi kuwakuta tweter...
Wee Jambazi! Naona kama umetukana watu kwamba wanafanyiwa kama hapo kwenye red.
Heshima Comrade.Mimi zote sipo, Twitter nilifungua account zamani nikaiacha, niliona haipo user friendly, instagram nilifungua pia nikaiacha niliona ina upuuzi mwingi sana
Mitandao yangu ni facebook hii nime like pages tu za habari ninazopenda kuzifuatilia na marafiki wachache
Youtube hii unapata kila kitu duniani kwa video kuanzia habari, muziki, michezo, movie clips za favorite movies, video elimu mbalimbali kuanzia finance, kilimo, teknolojia na mengine, sio lazima niwe na TV...
Youtube ndio mtandao wangu bora kuliko yote so far...Youtube ukiipenda video unaweza kui like for future reference,video kuhusu subject flani unaweza kuziweka kama playlist, unapata pia recommended videos wakiona unapenda aina flani za video na mengine mengi, sema price yake uwe na intanet ya uhakika
Jamiiforums napenda mijadala ya hapa.... ni kipaza sauti cha kila mtu
Putin yupo Insta??????????? Rusia hawana access na mitandao yote ya kimagharibi....... Wengine uliowataja ni mule mule....Mpumbavu sana Huyu kwa maana hio Michelle Obama, Barack Obama, Donald Trump, Vladmir Putin, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na wengine wengi wana akili kama za Delicious?? wewe una umaskini wa Fikra na wa Hela
Quora pia nipo lakini ni msomaji tu, kuna mada nzuri sana kuleHeshima Comrade.
Ukiwa na maono ya hivi unaonekana mshamba kweli. Hongera sana kwa hili Mkuu, ni hatua kubwa sana.
Nakumbuka nilijiunga Facebook mwaka 2006 na ku-delete a/c mwaka huohuo. Whatsapp niliachana nayo since Feb '15. Instagram sikuwahi kujiunga, Twitter, Badoo, Palmchat na kadhalika. Nipo Jamii Forums na Quora. You're welcome dear, yo'll learn alot of things.
Kule hakuna Nyuzi za kupeana Likes wala ushenzi (kumradhi), Hakuna Forums za Makapuku wala Majukwaa yaso na maadili. Ni kufunzana, kuelekezana kwa hekima na kadhalika. Hakuna matusi wala majibu ya hovyo.
Hii mitandao ambako simo ni Programmes agendas na Hollywood products ambazo kimsingi hazipo kumfikirisha mtumiaji. Zipo kwa ajili ya kumsisimua na kumfanya mtumiaji kuitumia pasina kutumia utashi, mantiki na kadhalika. Wana subliminal commands ambazo ni sumu kubwa sana katika Ubongo wa mwanadamu. How many of us know this?..
Pia Jamii ambazo hazina Elimu ya kutosha, ajira na kadhalika zipo obssesed sana na mambo yaso na tija. Umbea, mapenzi, mijadala ya hovyo, haramu kuwa halali na kadhalika ni kielelezo cha namna tunavyoandaliwa kufikirishwa badala ya kufikiri wenyewe. Haya ndiyo mambo yanayopewa kipaumbele kikubwa sana. Hatupo serious na masuala serious, unategemea nini?.
Ieleweke kuwa "Lengo langu si kubeza watumiaji wa mitandao mbalimbali", hoja yangu hapa ni msisitizo wa namna ya kuitumia hii mitandao kwa kuongozwa na Utashi zaidi na si kuendeshwa na mkumbo. Ina faida lukuki na hasara pia.
Ahsante sana kwa Jamii Forums.
Hekima Ni Uhuru.
Mwisho wa sentensi lazima umalizie na alama ya kiuandishi.Bado najiuliza umefikaje JF wakati hata kuandika 'Twitter' hauwezi
Sikusema ni mbaya kidogo Mkuu!Ila kuwa social kwenye hii mitandao, sio mbaya sana mkuu