my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Mzee dingi hiyo avatar ni kwikwi [emoji23][emoji23]Ngoja waje watukanaji mkuu.
Hapa hawawezi kutukana watapita tu kimya kama sio waoNgoja waje watukanaji mkuu.
Huku pia wako wengi tu wanapenda kutukana lakini mimi nimezungumia social media kwa jumlaMbona mimi huwa sioni matusi mkuu au nahitaji miwani? [emoji23]
Ahaa huko Insta huwa naona matusi mpaka nilifutilia mbali ile applicationHuku pia wako wengi tu wanapenda kutukana lakini mimi nimezungumia social media kwa jumla
Ni tabia mbaya sana lakini mbaya zaidi wenyewe wanajiona wajanja ππWengine wanafanya hapa JF kama ndio sehemu yao ya kumalizia stress zao za maisha kwa kutukana wenzao! Nadhani ni stress za maisha tu pamoja na malezi mabaya toka utotoni! Hapa nimewaongelea wale watukanaji sugu wa jf.
Sikukuu zinakaribia hizi nimeamua kupiga rasta ππππ.Mzee dingi hiyo avatar ni kwikwi [emoji23][emoji23]